Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote tukijitahidi ni draw tu
hata mechi ya kushinda tunatoa draw
Tazama mshahara wa makocha ...wa Uganda na wa TZ,,,
Siku zote tukijitahidi ni draw tu
hata mechi ya kushinda tunatoa draw
Tazama mshahara wa makocha ...wa Uganda na wa TZ,,,
Wale Wa Toto walio chukua kombe Brazil wako wap?afu mbona mitaani kuna vijana wazuri zaid ya hawa wanao itwa taifa......z.kweli bola tufunge soka mpaka tutakapo pata m4c mijitu iko bizy na ten percent inakelaaa sana MPA kchwa knaenda upande kilakola tunafeli hakuna chakujivunia pamba......vuu kabisa.
Mkwasa atimuliwe fasta tumpe Julio,Nae akiharibu tunampa Tegete wote wafaidi huo mshahara
Acha wivu! Mkwasa komaa, naona umeanza vizuri!