Taifa Stars Yaichapa Guinea ya Ikweta 2 - 1

Taifa Stars Yaichapa Guinea ya Ikweta 2 - 1

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Magoli ya Tanzania wafungaji ni Simon Msuva 68' na Abubakar Salum 93' huku Equatorial Guinea likifungwa na Pedro Obiang' kipindi cha kwanza dakika ya 15'.

Muhtasari wa kilichojili:
Dakika ya 15'
Pedro Obiang' wa Equatorial Guinea anafunga bao la kuongoza hapa uwanja wa Taifa.

Dakika 68'
Goal ! Simon Happygod Msuva awanyanyua vitini waTanzania kwa goal safi kabisa uwanja wa Taifa Dsm

Dakika ya 91'
Goal ! Abubakar Salum afunga goli kwa mkwaju mkali. Shukrani kwa assist ya Mbwana Samatta kwa uzoefu wake ktk ligi ya Belgium na mashindano ya Champion League barani Europe amtengea pasi murua Abubakar Salum ambaye bila papara yoyote shuti lake kali laipatia Tanzania pointi zote tatu.

Bravo Stars.
Bravo Tanzania
 
November 15, 2019
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea

Dakika 90' + 4 za nyongeza = 95' Full time mpira umekwisha hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Magoli ya Tanzania wafungaji ni Simon Msuva 68' na Abubakar Salum 93' huku Equatorial Guinea likifungwa na Pedro Obiang' kipindi cha kwanza dakika ya 15'.

Hali ilivyokuwa kwa dakika:

Dakika ya 15'
Pedro Obiang' wa Equatorial Guinea anafunga bao la kuongoza hapa uwanja wa Taifa.

Dakika 68'
Goal ! Simon Happygod Msuva awanyanyua vitini waTanzania kwa goal safi kabisa uwanja wa Taifa Dsm

Dakika ya 91'
Goal ! Abubakar Salum afunga goli kwa mkwaju mkali. Shukrani kwa assist ya Mbwana Samatta akitumia uzoefu wake ktk ligi ya Belgium na mashindano ya Champions League barani Europe amtengea pasi murua Abubakar Salum ambaye bila papara yoyote shuti lake kali laipatia Tanzania pointi zote tatu.

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea

Makocha nao walipatwa na dhahma uwanjani, kila mmoja akijaribu kushawishi ushindani uwanjani wakavuka mipaka:

Super Coach wa Tanzania Etienne Ndayiragije na wa Equatorial Guinea Sebastien Migne toka Ufaransa walambishwa kadi za njano dakika ya 95' ktk mchezo huu kuelekea fainali huko Cameroon 2021. Sebastien Migne alikuwa coach wa timu ya taifa ya Kenya maarufu kama Harambee Stars kabla ya kusainiwa na Equatorial Guinea.
 
November 15, 2019
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea

Dakika 90' + 4 za nyongeza = 95' Full time mpira umekwisha hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Magoli ya Tanzania wafungaji ni Simon Msuva 68' na Abubakar Salum 93' huku Equatorial Guinea likifungwa na Pedro Obiang' kipindi cha kwanza dakika ya 15'.

Hali ilivyokuwa kwa dakika:

Dakika ya 15'
Pedro Obiang' wa Equatorial Guinea anafunga bao la kuongoza hapa uwanja wa Taifa.

Dakika 68'
Goal ! Simon Happygod Msuva awanyanyua vitini waTanzania kwa goal safi kabisa uwanja wa Taifa Dsm

Dakika ya 91'
Goal ! Abubakar Salum shuti lake kali yaipatia Tanzania pointi zote tatu.

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea
Super Coach wa Tanzania Etienne Ndayiragije na wa Equatorial Guinea Sebastien Migne toka Ufaransa walambishwa kadi za njano dakika ya 95' ktk mchezo huu kuelekea fainali huko Cameroon 2021. Sebastien Migne alikuwa coach wa timu ya Kenya Harambee Stars kabla ya kusainiwa na Equatorial Guinea.

Aksante kaka kwa kuongeza nyama nyama.
 
Timu ya ccm leo imebahatisha kupiga vibonde?

Hii timu sio ya Tanzania mkuu,ni timu ya CCm!

Ishageuzwa ya CcM na bwana “mkoa wangu mimi”!
Yaani we jamaa sijui ni mtu wa namna gani!..kila jambo zuri lifanyikalo tz we unapinga tu..!! We ni kupinga tu..
 
Back
Top Bottom