eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Magoli ya Tanzania wafungaji ni Simon Msuva 68' na Abubakar Salum 93' huku Equatorial Guinea likifungwa na Pedro Obiang' kipindi cha kwanza dakika ya 15'.
Muhtasari wa kilichojili:
Dakika ya 15'
Pedro Obiang' wa Equatorial Guinea anafunga bao la kuongoza hapa uwanja wa Taifa.
Dakika 68'
Goal ! Simon Happygod Msuva awanyanyua vitini waTanzania kwa goal safi kabisa uwanja wa Taifa Dsm
Dakika ya 91'
Goal ! Abubakar Salum afunga goli kwa mkwaju mkali. Shukrani kwa assist ya Mbwana Samatta kwa uzoefu wake ktk ligi ya Belgium na mashindano ya Champion League barani Europe amtengea pasi murua Abubakar Salum ambaye bila papara yoyote shuti lake kali laipatia Tanzania pointi zote tatu.
Bravo Stars.
Bravo Tanzania