thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Wewe tu ndiyo hujui kama tunafaya progressYes....
Senior women cup of Nations or world cup.
Hapo ndio watu watajua mnamake progress
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tu ndiyo hujui kama tunafaya progressYes....
Senior women cup of Nations or world cup.
Hapo ndio watu watajua mnamake progress
Wewe una mapepo, nakushauri uende kuombewa.
Watu kama wewe ndio mnafanya upinzani waendelee kupoteza ushawishi,
Hivi capacity ya ule uwanja ni ngapi?
Watanzania wote wanaenea ule uwanja?
Ulikuwepo jana uwanjani?
Kama hujaenda uwanjani basi hata na picha na videos hujaona?
Chuki zako na serikali zinakupeleka vibaya sana,
Unajikuta kuandika upuuzi hapa ili uonekane una andika cha maana kumbe ni bonge la mshamba tu ambaye kichwa chake kimejaa chuki,
Alafu eti unasema wanajaa kwa takwimu zipi [emoji23][emoji23][emoji23] kama hujui kusoma hata video na picha huzioni.
Timu ya ccm leo imebahatisha kupiga vibonde?
Hii timu sio ya Tanzania mkuu,ni timu ya CCm!
Ishageuzwa ya CcM na bwana “mkoa wangu mimi”!
Hujawah peleka hata carton ya maji...unataka na wew uwe na team??
Ndio mwenye timu,yeye na ccm na serikali takatifu ya awamu ya tano!
Ndio ilivyo!
Ndio maana timu ya taifa imekua inachukiwa this time than any other time in history!
Shida ndio hiyo!
Tatizo watu mmejaa unafiki mnajifanya hamuoni!
Acha uongo we peke yako ndo unaichukia,timu inachukiwa huku uwanja unajaa full
Hatuendi hivyo jamaa,sie wote hatuipendi ccm lakini kuna mambo hayahusiani na ccm wala chadema
Senior Cup of Nations tumeshiriki 2014.Yes....
Senior women cup of Nations or world cup.
Hapo ndio watu watajua mnamake progress
Wewe ni hater hiyo ni fact,una tatizo jamaaNaichukia pekee yangu thats factually not true!
Na uwanja hata kama ulijaa ni 60,000 people ambayo ni 1% ya watu milion 60 nchi nzima!
Asilimia 98% iliyobaki una uhakika gani yooote inapenda CCM Stars?
Y’all niggaz are liers!
Wewe ndie yule Papi Chulo wa Tweeter?Such a gay name!
Whatever, you're not ok upstairs.Siamini uwepo wa mpumbavu yeyote aitwae mungu au shetani!
Wewe ndio unaamini ujinga kama huo!
Ni upumbavu kudhani kila mtu duniani anaamini ukiaminicho by default!
UmeonaWhatever, you're not ok upstairs.
Whatever, you're not ok upstairs.
Wewe ni hater hiyo ni fact,una tatizo jamaa
Kwa hiyo unataka watu million 60 wote wajae uwanjani!!?? ..shiit
Papi chulo ni spanish-american slang,go search the meaning....otherwise keep hating!
My guy, you're not ok, your hatred towards any accomplishment of Tz under current regime, depicts that.Kwahiyo unapita online na ku-diagnose random people na ku-declare their mental health online?
Great great!
Hold my beer!
Aisee wewe mjinga kweli yaani unahitaji takwimu kuwaangalia mashabiki waliojazana uwanjani 😂😂😂Video ndio takwimu?
Punguza ukiazi!
Aisee wewe mjinga kweli yaani unahitaji takwimu kuwaangalia mashabiki waliojazana uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nikivyokuambia watu kama wewe ndio mnafanya upinzani waendelee kupoteza ushawishi.
My guy, you're not ok, your hatred towards any accomplishment of Tz under current regime, depicts that.
Sasa mpaka 2025 ukiwa hivyo hivyo, it is to your detrimental.
Ulisema watu hawajai uwanjani kuangalia Tanzania ikicheza, nikakuambia hujaona video cha kushangaza unasema eti takwimu ni video 😂😂😂Takwimu ni video?
Toa takwimu compared na the rest of the country’s population!
Stars ilipofungwa hivi karibuni ilikua ni sherehe nchi nzima,and this terrified the shit outta y’all!
Ulisema watu hawajai uwanjani kuangalia Tanzania ikicheza, nikakuambia hujaona video cha kushangaza unasema eti takwimu ni video [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unaona kabisa mashabiki wamejaa uwanjani alafu unabisha kutokana na chuki za kishamba,
Kwa taarifa yako mwaka huu pekee soka la Tanzania limepata mafanikio makubwa mnoo,
Tulianza kwa kufuzu afcon,
Tumefuzu tena CHAN hapo majuzi kwa kuifunga kenya magoli ya kutosha,
Timu yetu ya wanawake u20 imebeba kombe la cecafa tena walikuwa walamealikwa tu,
Timu yetu ya vijana wamebeba kombe la cecafa hapo uganda kwa kuifunga timu ya kenya Pia tukatoa Mchezaji bora na mfungaji bora,
Pia cecafa women imeanza jana na tulipiga mtu za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau pia sisi ni bingwa mtetezi na tumebeba hilo kombe mara mbili mfufulizo,
Kwa hiyo hizo chuki zako za kusema timu zetu hazipendwi bakiza huko huko.