Taifa stars Yanga waitwa 7 Simba wachezaji wa 3

Nafikiri hiyo itakuwa faida Kwa Simba kuendelea kujenga timu Kwa pamoja wakati wao wako timu ya Taifa
 
Morocco ana chuki na wale watoto wa uingereza,kamuachaje yule full back wa kulia!?
 
Je hii Ina maana Gani..

..Simba kuitwa wachezaji wa 3.......

Azam wachezaji....5

Yanga wachezaji 7????

Je Ina maana Gani???
a) uwezo wa Simba ume drop

b) Simba hawana resources za wachezaji wa ndani

c). a b na c ni sawa
Taifa stars wakifungwa wamefungwa yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…