Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Huko hakuna mbeleko za marefa.Ningumu chini ya ulinzi wa yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko hakuna mbeleko za marefa.Ningumu chini ya ulinzi wa yanga
Morocco ana chuki na wale watoto wa uingereza,kamuachaje yule full back wa kulia!?Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025).
Ally Salim(Simba SC) GK
Aboutwalb Mshery (Yanga) GK
Yona Amos (Pamba SC) GK
Lusajo Mwaikenda (Azam FC)
Nathaniel Chilambo (Azam FC)
Mohamed Hussein (Simba SC)
Dickson Job (Yanga)
Pascal Mindo (Azam FC)
Ibrahim Hamad (Yanga)
Bakari Nondo (Yanga)
Nickson Kibabage (Yanga)
Abdulmalik Zakaria (Mashujaa FC)
Adolf Mtasingwa (Azam FC)
Himid Mao (Talaal El Geish, Misri) Novatus Dismas (Goztepe, Uturuki)
Mudathiri Yahya (Yanga)
Hussein Semfuko (Coastal Union)
Edwin Balua (Simba SC)
Feisal Salim (Azam FC)
Wazir Junior (Dodoma Jiji)
Cyprian Kachwele (Vancouver Whitecaps, Canada)
Clement Mzize (Yanga)
Abel Josiah (Tds TFF Academy)
#WasafiSports
Taifa stars wakifungwa wamefungwa yangaJe hii Ina maana Gani..
..Simba kuitwa wachezaji wa 3.......
Azam wachezaji....5
Yanga wachezaji 7????
Je Ina maana Gani???
a) uwezo wa Simba ume drop
b) Simba hawana resources za wachezaji wa ndani
c). a b na c ni sawa