Taifa stars yatoa droo na timu ya Msumbiji

Taifa stars yatoa droo na timu ya Msumbiji

Mkira

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2006
Posts
425
Reaction score
121
Katika kundi la nne,

Timu ya taifa ya Tanzania inaongoza katika kundi hilo!

Baada ya leo kutoa droo ya bila kwa bila na Msumbiji.

Kwa hiyo tuna point 4 kibindoni!

Hongera timu ya taifa!!

Senegal imefungwa goli 1 na Burkina faso.


Msimamo. Points.

Taifa stars 4
Senegal 3
Burkina faso. 3

Msumbiji 1
 
Kumbe bado tunaongoza kundi letu....naina World Cup ileeeee 2022
 
Sammatta atupiepo Kesho ili mambo yaende sawa.
 
Hakika tunaanzaga vizur lakin mwishon kinachotekea n kwamba tumechez vizur lakin tumefungwa tusisahau gabon
 
Back
Top Bottom