Taifa Stars yatolewa CHAN baada ta kutoka suluhu na Amavubi Stars ya Rwanda

Ah! angalau wamekufa kiume.
 
Napendekeza yafuatayo.
1. Timu ya taifa iwe inaweka kambi jeshini ili kutatua tatizo la wao kukosa uzalendo.
2. Baada ya kambi aitwe hakimu waapishwe kulitumikia taifa kwa akili zao zote na uwezo wao wote.
3. Serikali nayo ijifunge kuwalipa vizuri wakifanya vizuri,huu uwe ni mkataba kabisa wa kisheria.
4. Wachezaji wa timu ya taifa wapimwe kiwango cha chakula wanachokula maana wengine wamelegea kama mlegea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…