Taifa teule na mataifa

Taifa teule na mataifa

Ukiangalia kwa undani zaidi haya masuala utagundua kuna watu wametuzidi kete sisi weusi kwenye kuandika haya mambo maana kitaalamu its the one with pen who control the story.

Waliopata fursa ya kuandika juu ya haya mambo wamewamba sana hii ngoma kuvutia kwao.

Ila when you check it in your sense unagundua hata Dunia ilivyo watu walioanza walikuwa weusi then watu weupe wakapatikana kutokana na environment factors... Wazungu wamekuwa wazungu kwa kukaa sehemu yenye baridi sana. But probably walikuwa weusi mwanzoni then kutokana na kusafiri zaidi na kufika Europe wakajikuta wako weak in melanin and hair.

Ndio maana watu wa afrika wana nywele ngumu na ngozi ngumu ili kuzuia jua kuwadhuru. Thus maisha yalianzia afrika then watu walipotawanyika wakaadapt kulingana na environmental reasons.

Kuna mengi sana hatuyajui kwenye hii Dunia. Sema waliopata nafasi ya kuandika ndio wametu control kwa maandishi yao.
Tukiamua kwa hakika tunaweza ku track historia ya mtu mweusi asili yetu bila kutegemea maandiko na maandishi ya mtu mweupe.. Kama ngozi ya kitimoto
 
Yeah hii scientifically imekaa sawa kabisa that's why watu weusi wanaweza kukaa mahala popote duniani...niliwahi kufuatilia baadhi ya watu waliokua masikini kabla ambavyo walikua weusi tiiiiii then maisha yalipowanyookea maybe kuishi nchi za baridi na ngozi zao zikanawiri na ule weusi haukua weusi kama wa awali so probably enzi hizo that's what happened

Hata huko China si kuna wakati wanadai mchina asilia alikua mtu mweusi so what happened I don't know either
Something long the creation n recreation happened in between... May be something very dreadful
 
Hongera! Umenielewa kirahisi utafika mbali mkuu.

Kule Australia kuna watu wanaitwa Maori hawa ni purely weusi but wana nywele za kizungu zile blond hair but sura zao utafikiri shambuku wa pale maneromango. Inawachanganya racial classifiers Hadi wanaamini jamaa bado wako kwenye transformation ya kuwa wazungu, wakiukacha uafrika kutokana na mazingira.
How about native Americans?
 
Yeah hata huko India si kuna wale wahindi weusi tiiiii ila wana nywele kama za kihindi ila wanatengwa na wahindi weupe

So scientifically point yako imekaa sawa
.
amerindians.jpg
california-black-nation.jpg
 
Na kama kuna watu wanamkataa yesu kwa nguvu zote basi ni waisrael. Sijui kwanini bado wanaqualify kuwa taifa teule then watu wa pale Mbeya waliokoka mkoa mzima wanakuwa wa mataifa? Inanivuruga kichwa hii!

Its injustice!
Na kwa asili waisrael ni wabishi... Kumbuka safari ya miaka 40 jangwani.. Hata leo hii ukiamua kutembea kwa miguu ni safari ya siku chache tuu
 
Daah! Yaani upendeleo kumbe umeanzia mbinguni kabisa.

Israel wako favoured kweli...what about us God?

Ushaidi mwingi mtandaoni kuhus maisha kuanzia mashariki ya kati then baadae fuvu la mtu wa kale kabisa kupata kuishi Duniani linapatikana Tanzania Olduvai gorge..hii ikimaanisha afrika, Tanzania ndio sehemu ambapo maisha yalianzia hivyo technically bustani ya Eden inaweza kuwa ilikuwa Arusha au Mbeya for that case...then baadae middle East wanaiba show na kusema kwao ndio maisha yalianzia tena...C'moooon!
Nepotism
 
Israel ndio inajulikana kama taifa teule la Mungu na kuna ushahidi mwingi mitandaoni kuwa dunia ilianzia mashariki ya kati....

Mengi yanayoandikwa kuhusu hizi dini mbili zinazomtambua Mungu mmoja... Yana asili na mashariki ya kati... Mitume manabii masinagogi, historia na kumbukumbu nyingi za ulimwengu wa imani na kwa sehemu historia chimbuko lake ni mashariki ya kati....

Rejea mada ya Je dunia ilianzia mashariki ya kati? ... Kuanzia maisha ya Eden mpaka gharika ya Nuhu na kuangamizwa kwa sodoma na gomora... Haya yote hayatoki nje ya hapo

Unapoendelea kusoma historia ya dunia kiimani na vitabu vya dini.. Kuna kaliba inapewa nafasi ya 'wa mataifa'.... Yaani kwa tafsiri rahisi wale wa nje ya mashariki ya kati...! Nje ya Israel!

Tuna hizi dini tulizoletewa Afrika na wazungu na waarabu.. Uislam bado una asili na mashariki ya kati... Ukristo ulifikaje ulaya kwa wageni wa dunia (wazungu)? Kisha pengine wakauchakachua kishapo ndio wakatuletea sisi? Hili hojaji linahitaji mjadala wake tofauti?

Lakini kwa sasa kuna maswali yanahitaji majibu ili kujiridhisha na hizi imani zetu

. Je wale wote walio nje ya mashariki ya kati ndio wa mataifa?

. Je kwanini kwenye Biblia takatifu China inatajwa kipekee? Katika kitabu cha mithali kwenye kutafuta maarifa watu wanaaswa wafike hata China?

. Je mpango mkakati wa Injili kwa watu wote (wa mataifa) ya kuwahubiria neno la Mungu watubu na kuokoka... Tafsiri yake ni ipi? Je hawa hawakuwa sehemu ya uumbaji wake?

. Je wapagani wanaohitaji kuhubiriwa injili.. Si wakazi wa dunia hii?
Historia ya Israel...

Nguvu waliyo nayo utabiri wa kurejea nyumbani... Namna yao ya kuabudu nakuamini tofauti na imani nyingine ni kama vile inatoa picha kuwa hata wazungu ni watu wa mataifa na si sehemu ya taifa teule! ?


Taifa Teule la Mungu my azz....

Waulize Germans waliwafanya nini?

Mbona huyo mungu wako baguzi hakuja kuwaokoa?

Lunatics tu!
 
coz nimerudia kitabu cha mithali Mara nne lakini hiyo ya china nina mashaka nayo....
Nimecheki ni kweli sijaona ila kuna andiko lianataja China ama mashariki ya mbali... Kitu kama hicho.....
 
Nimecheki ni kweli sijaona ila kuna andiko lianataja China ama mashariki ya mbali... Kitu kama hicho.....
Mkuu labda umechanganya na ile hadithi ya Mtume Muhammad [SAW] aliposema

"Itafuteni elimu ijapokuwa iko katika miji ya China, kwani kutafuta elimu ni wajibu (lazima) juu ya kila Mwislamu"

Akihimiza waumini waitafute elimu hata kama ipo mbali kiasi gani.
 
Mkuu labda umechanganya na ile hadithi ya Mtume Muhammad [SAW] aliposema

"Itafuteni elimu ijapokuwa iko katika miji ya China, kwani kutafuta elimu ni wajibu (lazima) juu ya kila Mwislamu"

Akihimiza waumini waitafute elimu hata kama ipo mbali kiasi gani.

Sawa kabisa tena kabisaa!!!!!
Biblia haijaandika kuhusu China
 
Back
Top Bottom