Tairi gani za kichina zina afadhali?

Tyre ya mchina yenye akili ni Triangle tu! Nje ya hapo kwangu naona ni upuuzi tu hata ile Goodride ambayo nilidhani ina nafuu imentesa kupiga jeki kila saa na kutoa vijipu pembeni
Gari yangu moja sasa ina miaka mitatu,ilikuja na Dunlop nikazitumia mwaka nikasafiri nazo zikaishia huko nilipoenda. Nikanunua Mchina, moja Boto matatu Road whatever hata sikumbuki. Huu mwaka wa pili hazijawahi hata kupata pancha na nina safari za hapa na pale.
Gari ingine imekuja na Dunlop miezi sita sasa zinapiga trip nafikiri nitazibadili soon niweke Dunlop nione.
 
Hongera mkuu mchina tatizo toleo la kwanza linakuwaga imara kisha baada ya hapo yanatoka feki tena! Ila Dunlop ukiipata yenye Japan Engineering inadumu mie niliweka awamu ya kwanza hazijawai kupiga hata pancha mpaka zimeisha hazijala utambi
 
Hongera mkuu mchina tatizo toleo la kwanza linakuwaga imara kisha baada ya hapo yanatoka feki tena! Ila Dunlop ukiipata yenye Japan Engineering inadumu mie niliweka awamu ya kwanza hazijawai kupiga hata pancha mpaka zimeisha hazijala utambi
Goodride ikoje sasa hivi?
 
Westlake ni bonge la tairi aisee nimetumia Sana hizo tairi
 
Hiyo tyre ya gari gani /size gani unayoulizia wewe? Mana umetaja rim size peke yake
 
Very clever[emoji119][emoji119]
 
mkuu kumho yamejaa tele kwa huyu super dealer wao Tanzania anaitwa associated supplies yupo kinondoni morocco mkabala na police oysterbay na pia wapo msimbazi kariakoo miaka yote mi nanunuaga kwao na hata mwezi wa 5 nilimpeleka mtu kununua
 

Dunlop kwa gari ndogo utapata za south
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…