Tairi gani za kichina zina afadhali?

Tairi gani za kichina zina afadhali?

Tyre ya mchina yenye akili ni Triangle tu! Nje ya hapo kwangu naona ni upuuzi tu hata ile Goodride ambayo nilidhani ina nafuu imentesa kupiga jeki kila saa na kutoa vijipu pembeni
Gari yangu moja sasa ina miaka mitatu,ilikuja na Dunlop nikazitumia mwaka nikasafiri nazo zikaishia huko nilipoenda. Nikanunua Mchina, moja Boto matatu Road whatever hata sikumbuki. Huu mwaka wa pili hazijawahi hata kupata pancha na nina safari za hapa na pale.
Gari ingine imekuja na Dunlop miezi sita sasa zinapiga trip nafikiri nitazibadili soon niweke Dunlop nione.
 
Hongera mkuu mchina tatizo toleo la kwanza linakuwaga imara kisha baada ya hapo yanatoka feki tena! Ila Dunlop ukiipata yenye Japan Engineering inadumu mie niliweka awamu ya kwanza hazijawai kupiga hata pancha mpaka zimeisha hazijala utambi
 
Goodride ikoje sasa hivi?
 
Shida ya mchina toleo likitoka likipotea limepotea! Kuna tairi ziliitwa westlake zilikuwa ni afadhali sana, lakini sasa hivi hazipo!! Hata hizo goodride zipo size ndogo za vitz na IST ukija kwenye size 15 kuendelea kuna majina ya ajabu sana!!

Mie mpenzi wa Kumho, South Korea ila nazo hazipatikani zipo za gari kubwa tu za basi na malori!!

Niliweka tairi zinaitwa BOYA, mwaka mmoja tu sina tairi! Hizo triangle nazo kidogo zinitupe bondeni Lindi huko, mpya halafu zikapasuka 😂
Westlake ni bonge la tairi aisee nimetumia Sana hizo tairi
 
Ni kampuni gani ya tairi za china ambayo ni nzuri kuzidi nyingine za china, nimeulizia BF GOODRICH y usa/uk Rim 15,ni sh 280,000/=kwa pisi moja, michelin 180,000/, goodyear 170,000/=, mchina 120,000/=hizo zote ni saizi 15, mchina ni maji usipo kunywa utaoga tu, hata kufulia basi.
Hiyo tyre ya gari gani /size gani unayoulizia wewe? Mana umetaja rim size peke yake
 
Basi zilikuwa za kindezi! Tairi inaitwa Boya na wewe ukanunua mzee baba [emoji23][emoji23][emoji23]???

Tatizo hela tu ila tairi kwa mjapani ni Dunlop, Bridgestone ama Yokohama, Mmarekani ni Bf Goodrich, Mfaransa ni Michelin, Muitaliano na Pirelli ama Mkorea na Hankook basi! Nje ya hapo ni matatizo tu tunataftaga
Very clever[emoji119][emoji119]
 
Shida ya mchina toleo likitoka likipotea limepotea! Kuna tairi ziliitwa westlake zilikuwa ni afadhali sana, lakini sasa hivi hazipo!! Hata hizo goodride zipo size ndogo za vitz na IST ukija kwenye size 15 kuendelea kuna majina ya ajabu sana!!

Mie mpenzi wa Kumho, South Korea ila nazo hazipatikani zipo za gari kubwa tu za basi na malori!!

Niliweka tairi zinaitwa BOYA, mwaka mmoja tu sina tairi! Hizo triangle nazo kidogo zinitupe bondeni Lindi huko, mpya halafu zikapasuka 😂
mkuu kumho yamejaa tele kwa huyu super dealer wao Tanzania anaitwa associated supplies yupo kinondoni morocco mkabala na police oysterbay na pia wapo msimbazi kariakoo miaka yote mi nanunuaga kwao na hata mwezi wa 5 nilimpeleka mtu kununua
 
Basi zilikuwa za kindezi! Tairi inaitwa Boya na wewe ukanunua mzee baba [emoji23][emoji23][emoji23]???

Tatizo hela tu ila tairi kwa mjapani ni Dunlop, Bridgestone ama Yokohama, Mmarekani ni Bf Goodrich, Mfaransa ni Michelin, Muitaliano na Pirelli ama Mkorea na Hankook basi! Nje ya hapo ni matatizo tu tunataftaga

Dunlop kwa gari ndogo utapata za south
 
Hata za south sio mbaya

Niko kkoo hapa nachek tyres nikapata yokohama kwa 215/45/17 bei 150k, anadai ni mjapan, ndugu zangu sipigwi hapa??[emoji23][emoji23]
IMG_4477.jpg
 
Back
Top Bottom