Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Bridgestone huwa unachukulia wapi ? Natafita hadi nimechoka nataka niweke tu boyaFunga Used za japan zinazotka Dubai kwa 45000 utatembelea hata miezi 6 kama uchumi haujakaa sawa ila kama vizuri chana mfuko uchukue Bridgestone.
K.koo kupigwa rahisi sana, ndio maana bora kwenda kwa dela wakubwa japo wanatulalia bei kweli kweliBonyeza nyama ya pembeni hio ukiona laini jua unanyooshwa! Tyre ya mjapani ina ukuta mgumu wa pembeni
Eh dealer anakupasua ila anakupa kitu cha uhakikaK.koo kupigwa rahisi sana, ndio maana bora kwenda kwa dela wakubwa japo wanatulalia bei kweli kweli
Bora upigwe na dila, kuliko kupigwa k.kooEh dealer anakupasua ila anakupa kitu cha uhakika
Ogopa sana vitu bei cheee kama ukoma ππππK/koo sio wote wanapiga kuna wengine sisi tunauza bei cheao kabisa
Bridgestone huwa unachukulia wapi ? Natafita hadi nimechoka nataka niweke tu boya
Tyre used sijawai zitumia, naziogopa kama ukomaKuna jamaa analeta mkoani anachukua k/kko used(Zinatoka Dubai).
Inategemea na mtu ba mtu kuna wangapi humu nimewauzia na hajaleta malalamiko?Ogopa sana vitu bei cheee kama ukoma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa nataka Brigdestone 215/55R16 mpya kabisa sio used, ikikosekana hiyo Dunlop ya Japan, Sanamu la michelin nimelitafuta halipatikani hata superdol hawanaInategemea na mtu ba mtu kuna wangapi humu nimewauzia na hajaleta malalamiko?
Used zimeruhusiwa lini Bongo? Hizo ni used za hapa hapa kuna watu wanavua tairi kutoka magari yaliyoingia kutoka Japan wanavisha mpya. Juzi nimevua dunlop zilizokuja na gari baada ya kuzitimba mieze 6 na nimeziuza kwa muuza matairi used!Kuna jamaa analeta mkoani anachukua k/kko used(Zinatoka Dubai).
Used zimeruhusiwa lini Bongo? Hizo ni used za hapa hapa kuna watu wanavua tairi kutoka magari yaliyoingia kutoka Japan wanavisha mpya. Juzi nimevua dunlop zilizokuja na gari baada ya kuzitimba mieze 6 na nimeziuza kwa muuza matairi used!
Tyre used sijawai zitumia, naziogopa kama ukoma
πππ Na mie najua hivyo, mie mwenye huwa nikiendaga badirisha tyre sikosi hela ya maji.. huwa wanakuja wanawauzia wengineUsed zimeruhusiwa lini Bongo? Hizo ni used za hapa hapa kuna watu wanavua tairi kutoka magari yaliyoingia kutoka Japan wanavisha mpya. Juzi nimevua dunlop zilizokuja na gari baada ya kuzitimba mieze 6 na nimeziuza kwa muuza matairi used!
Sio salama mkuu wangu. Bora upaki gari uaubiri upate tyre mpya babara zetu hizi kwa tyre used unaongeza ma riskUsiogope zitumie tu ni nzuri.
Tanzania hairuhusu uingizaji wa used tyres, chache huwa zinapitia Znz kuja bara kiaina.Jamaa anasema zinatoka Dubai ,possible wanaozibadili kwa hapa hapa bongo.
Hapana mkuu. Hizo zinafaa matumizi ya hapa hapa mjini si kwa mtu anaepiga masafa mikoani. Mfano zangu zilizokuja na gari nimetumia miezi 6 ukiziangalia kashata imejaa ila kuna siku nimeikuta ina pacha ule mkujo wa pancha kuangalia tairi ina cracks kibao! ikijaa cracks hazionekani.Usiogope zitumie tu ni nzuri.
Majuzi nusura inimwage kwenye ile lami ya Chalinze-Moro baada ya ubena Zomozi Hapo nimefunga mpya imepasuka usiku mnene poriniTyre ya mchina yenye akili ni Triangle tu! Nje ya hapo kwangu naona ni upuuzi tu hata ile Goodride ambayo nilidhani ina nafuu imentesa kupiga jeki kila saa na kutoa vijipu pembeni
Tairi za kawaida nazotumia kwa miaka yote ni Goodride.....hazijawahi nisumbua na naenda safari ndefu mara kwa mara. Tairi nyingine za kawaida nazotumia pia ni "Infinity", hizi tairi niliweka 2016 na mpk leo nazitumia..anaejua zinapopatikana anijuze maana kuna wakati niliulizia sikuzipata huku mikoani. Sijawahi kutumia tairi za bei "mbaya" zaidi ya Dunlop iliyokuja na gari,nilitembelea mpk uzi zikatokeza,nikazivua na kufunga Infinity. Wakati wa kununua huwa nazingatia sana mwaka iliyotengenezwa na kununua kwa dealers. CheersNi kampuni gani ya tairi za china ambayo ni nzuri kuzidi nyingine za china, nimeulizia BF GOODRICH y usa/uk Rim 15,ni sh 280,000/=kwa pisi moja, michelin 180,000/, goodyear 170,000/=, mchina 120,000/=hizo zote ni saizi 15, mchina ni maji usipo kunywa utaoga tu, hata kufulia basi.
Mie kwa uzoefu nimetumia Black Lion, Goodride na MPS. Nilikaa nazo zaidi ya miaka mitatu, na nilikua na trip kibao.Ni kampuni gani ya tairi za china ambayo ni nzuri kuzidi nyingine za china, nimeulizia BF GOODRICH y usa/uk Rim 15,ni sh 280,000/=kwa pisi moja, michelin 180,000/, goodyear 170,000/=, mchina 120,000/=hizo zote ni saizi 15, mchina ni maji usipo kunywa utaoga tu, hata kufulia basi.