danhoport
JF-Expert Member
- May 20, 2020
- 1,984
- 4,502
Zipo mbona huku kariakooTairi za kawaida nazotumia kwa miaka yote ni Goodride.....hazijawahi nisumbua na naenda safari ndefu mara kwa mara. Tairi nyingine za kawaida nazotumia pia ni "Infinity", hizi tairi niliweka 2016 na mpk leo nazitumia..anaejua zinapopatikana anijuze maana kuna wakati niliulizia sikuzipata huku mikoani. Sijawahi kutumia tairi za bei "mbaya" zaidi ya Dunlop iliyokuja na gari,nilitembelea mpk uzi zikatokeza,nikazivua na kufunga Infinity. Wakati wa kununua huwa nazingatia sana mwaka iliyotengenezwa na kununua kwa dealers. Cheers