ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
🤣🤣🤣sasa unakuta ndo taarabu imekolea anawaambia tikisa kiuno kata viuno watu waoneeee 🤣🤣🤣ushoga mtupuNa utakuta mwanaume mzima na msuli wake yupo kwenye mduara anakata mauno. Astafaghafla! Hadi kichefuchefu!
Muziki wa hovyo sana huo.Singeli, mchiriku
Na hizo track za zamani ukizitafuta huzipati ng'o. Wamezitupilia mbali na kujikita kwenye taarabu za kishoga.Taarabu za zamani nazipenda mfano..
Njiwa peleka salama.
ila za kizazi hiki cha sasa... hapana.
Bongo fleva za sasa... hapana.
Download mwenyeweNa hizo track za zamani ukizitafuta huzipati ng'o. Wamezitupilia mbali na kujikita kwenye taarabu za kishoga.
Hahah wanapenda kishenz ila ni makelele makali balaa. Ila wenyewe wanapenda.. Kweli binadamu hatufanani.Electro na Metal mpaka huwa najiuliza ujinga gani huu. Alafu unakuta wenyewe wakiwa high wanazungusha vichwa kama vichaa na yale makele.
Mkuu nimekuelewa lakini bado sijakupata. Hivi kwa mfano track ya SELEMANI ina mafundisho gani? Pia niambie ya AMELOA inafundisha ninj zaidi ya kuchochea ngono zembe.Humu kuna wazee ambao wamegoma kubadilika, siku zote muziki ni burudani tu hivyo ukiona hakikuvutii unaachana nacho. Hizi hoja za kwamba sijui miziki ya sasa haielimishi ni maneno tu maana hata huko zamani tumesikia sana nyimbo za matusi zilizoimbwa kimafumbo.
Binafsi siuelewi huu muziki wa taarabu ya sasa wa kucheza viduku yani siuelewi kabisa ila sina shida na wenye kuburudika na muziki wa aina hiyo ndio burudani.
Mkuu muziki ni burudani, hii dhana ya sijui kuelimisha ni unafki tu kwa sababu hata hiyo miziki ya zamani ipo ambayo ilikuwa na matusi matupu yaliyoimbwa kwa mafumbo lakini hadi leo mkisifia nyimbo za zamani mnatuambia zilikuwa na ujumbe mara sijui mafunzo.Mkuu nimekuelewa lakini bado sijakupata. Hivi kwa mfano track ya SELEMANI ina mafundisho gani? Pia niambie ya AMELOA inafundisha ninj zaidi ya kuchochea ngono zembe.
Kwa hiyo muziki wa sasa hivi umebase kwenye burudani tu tuwaache watu waimbe matusi mkuu?Mkuu muziki ni burudani, hii dhana ya sijui kuelimisha ni unafki tu kwa sababu hata hiyo miziki ya zamani ipo ambayo ilikuwa na matusi matupu yaliyoimbwa kwa mafumbo lakini hadi leo mkisifia nyimbo za zamani mnatuambia zilikuwa na ujumbe mara sijui mafunzo.
Nyimbo kama za Issa matona huko zilikuwa na matusi sana. Kwahiyo muziki ni burudani na lazima mtambue zama zimebadilika hamuwezi mkataka watu waimbe kama miaka ya zamani vilevile.
Muziki huwa ni burudani toka enzi hizo, tatizo haieleweki point yenu ni kwamba miziki ya sasa sio mizuri au kwamba ina matusi?Kwa hiyo muziki wa sasa hivi umebase kwenye burudani tu tuwaache watu waimbe matusi mkuu?
Mimi kusikiliza Bongo fleva ni kitendo cha aibu. Kukutwa nasikiliza ni kama kashfa