Taja aina ya muziki usioupenda

Taja aina ya muziki usioupenda

Na utakuta mwanaume mzima na msuli wake yupo kwenye mduara anakata mauno. Astafaghafla! Hadi kichefuchefu!
🤣🤣🤣sasa unakuta ndo taarabu imekolea anawaambia tikisa kiuno kata viuno watu waoneeee 🤣🤣🤣ushoga mtupu
 
Taarabu za zamani nazipenda mfano..

Njiwa peleka salama.

ila za kizazi hiki cha sasa... hapana.

Bongo fleva za sasa... hapana.
Na hizo track za zamani ukizitafuta huzipati ng'o. Wamezitupilia mbali na kujikita kwenye taarabu za kishoga.
 
Nipo hapa kwenye daladala dereva kawasha singeli natamani nishuke....yaani ni full matusi.
 
Humu kuna wazee ambao wamegoma kubadilika, siku zote muziki ni burudani tu hivyo ukiona hakikuvutii unaachana nacho. Hizi hoja za kwamba sijui miziki ya sasa haielimishi ni maneno tu maana hata huko zamani tumesikia sana nyimbo za matusi zilizoimbwa kimafumbo.

Binafsi siuelewi huu muziki wa taarabu ya sasa wa kucheza viduku yani siuelewi kabisa ila sina shida na wenye kuburudika na muziki wa aina hiyo ndio burudani.
 
Mkuu nimekuelewa lakini bado sijakupata. Hivi kwa mfano track ya SELEMANI ina mafundisho gani? Pia niambie ya AMELOA inafundisha ninj zaidi ya kuchochea ngono zembe.
 
Mkuu muziki ni burudani, hii dhana ya sijui kuelimisha ni unafki tu kwa sababu hata hiyo miziki ya zamani ipo ambayo ilikuwa na matusi matupu yaliyoimbwa kwa mafumbo lakini hadi leo mkisifia nyimbo za zamani mnatuambia zilikuwa na ujumbe mara sijui mafunzo.

Nyimbo kama za Issa matona huko zilikuwa na matusi sana. Kwahiyo muziki ni burudani na lazima mtambue zama zimebadilika hamuwezi mkataka watu waimbe kama miaka ya zamani vilevile.
 
Kwa hiyo muziki wa sasa hivi umebase kwenye burudani tu tuwaache watu waimbe matusi mkuu?
 
nauchukia Singeli, na nikimwona mtu anasikiliza singeli huwa namchukulia hamnazo
 
Mimi kusikiliza Bongo fleva ni kitendo cha aibu. Kukutwa nasikiliza ni kama kashfa
 
Sipendi bongo fleva new generation na sipendi bongo hip hop new generation hawa vijana wanasema drill sijui
 
Kwa hiyo muziki wa sasa hivi umebase kwenye burudani tu tuwaache watu waimbe matusi mkuu?
Muziki huwa ni burudani toka enzi hizo, tatizo haieleweki point yenu ni kwamba miziki ya sasa sio mizuri au kwamba ina matusi?
 
napenda good music,, sipendi wimbo wowote wenye matusi na makelele。
 
Back
Top Bottom