Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Mudi ebu futeni huu uzi, maana naona umejisokota kwenye upendeleo...🙄🙄
Alafu kuna wanao jipenda zaidi ili wengine tuumie moiyo...🧐🧐
 
Wengi humu hatujuani lakini tunafanya imagination tu kwamba mtu fulani atakuwa wa ivi sana sana imagination inakujia kutokana na majina wanayotumia watu, avatar na michango ya mhusika.

Leo tuangalie avatar na michango ambayo inachukua nafasi katika kuwakilisha muonekano wako.

Taja jina moja unalovutiwa na avatar yake na vijimaelezo kidogo vya kusindikiza..
Mimi naanza na huyu manzi wakuitwa PAULA PAUL aisee mi nikionaga avatar yake tu basi mie hoi aisee mwili na viungo vinakosa ushirikiano..na inaonekana hata alivyo toto moja zuri sana mtepetepe fulani ivi halafu wakishua..kasoro yake moja tu inaonesha mtu wa maringo sana na viingereza vingi kama vyakina wema sepetu

View attachment 1629935
Huyu dada sijui ako na Nini. Kila mtu anavutiwa nae, bora tuendelee kua na fake I'd mfano mume wake akiyapata haya si anatafuta binduki!
 
Hii Avatar huwa naipenda sana hasa huo mtuno wa lipsi unasadifu kuwa yaliyomo yamo/yanaweza kuwemo[emoji1]View attachment 1631561
Haki naona kabisa wikend yangu inaendelea kuwa murua 🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
840C8102-75F4-4B09-956B-903928E3253F.jpeg
B16F9D68-AA07-4BB6-BA57-3C2E8C23D576.jpeg
51B653CB-02AC-4061-AAA6-59A4D54DE5C9.jpeg
 
Back
Top Bottom