Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Kuna dada mmoja alikuwa kila akiweka comment kwenye post zangu basi najiona bingwa sana.
Tangu abadili avatar yake na mvuto wake naamini ulipungua
Ila kichwani yupo vizuri.

Kwa ID za kiume wapo kadhaa ambao ukiona avatar tu unajua hiki kichwa chakula ya ubongo iko poa.
 
Sio mimi tu ninaekariri mama wapo wengi humu ndani mfano hakuna.

Hivi hauwezi kuniazima huyo MJ na mimi nikamtumis halafu nikamrudisha baada ya wiki ijayo[emoji780][emoji41][emoji41][emoji41]
Duu!!!!
 
Rafiki yangu wewe si wa kunisahau namna hii[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]yani nimepoteza wino wangu woteeee kweli baba na hujaona kuwa nimekutaja??
Hahahaha, kwani mm Nina avatar ya muigizaji wa kiume wa movies?
 
Kuna mmoja siwezi mtaja, kaweka avatar ya ajabu yaani haina mvuto walaqhi, ila vile I am crushing on him huwa najikuta na fall in love na ile avatar yake kila nikiiona..!! [emoji23]
nimeshamjua!!
 
Back
Top Bottom