Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Kuna mmoja siwezi mtaja, kaweka avatar ya ajabu yaani haina mvuto walaqhi, ila vile I am crushing on him huwa najikuta na fall in love na ile avatar yake kila nikiiona..!! πŸ˜‚

Tushamjua 😎
 
Duuh mbona sikuwa nimeona hii mention jamani; To God be the Glory. Nimefarijika sana kusoma comment yako.........Ahsante sana.
 
Cariha.....

Inanikumbusha sana nilivyokuwa kule BAHIR DAR ETHIOPIA(inatamkwa bahar yaani ufukwe wa BAHARI kwa kiamhara).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…