Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Kuna mmoja siwezi mtaja, kaweka avatar ya ajabu yaani haina mvuto walaqhi, ila vile I am crushing on him huwa najikuta na fall in love na ile avatar yake kila nikiiona..!! 😂

Tushamjua 😎
 
Duuh mbona sikuwa nimeona hii mention jamani; To God be the Glory. Nimefarijika sana kusoma comment yako.........Ahsante sana.
Ni kweli na katika hili la maneno sijaona narudia sijaona wa kumfananisha na Heaven Sent

hii ni kwa uono wangu,ni moja ya mtu unaeweza enda pm ukaomba akushauri kitu maana unajua

chochote atakachokwambia kitakua kimethibitishwa na TBS,napenda kila comment yake huyu mtu.

ID yake na anayo yaandika havipishani,bibi wewe Mungu akubariki huko uliko,napataga vitu sana kupitia comment zako.
 
Cariha.....

Inanikumbusha sana nilivyokuwa kule BAHIR DAR ETHIOPIA(inatamkwa bahar yaani ufukwe wa BAHARI kwa kiamhara).
 
Back
Top Bottom