Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Avatar ni nini kwani mkuu
 
Cariha.....

Inanikumbusha sana nilivyokuwa kule BAHIR DAR ETHIOPIA(inatamkwa bahar yaani ufukwe wa BAHARI kwa kiamhara).
Broo lini utaenda tena mi maeneo yangu sana hayo
 
Unamkumbuka Cheusi Mangala? Avatar yake ilikuwa ni utata MTUPU!!! Na siku aliyoibadili ilizua kasheshe humu na ME wengi kutaka irudishwe haraka iwezekanavyo. Ilikuwa ni ya mdada hivi mwenye makalio makubwa ya kuvutia ule uzi nakumbuka ulikuwa mrefu.
 
Usiniambie alikuwa na lijisambwanda...nyie Haya Hayako fea kabisa..
Ehee ikawaje sasa..
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…