Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwahii kauli mwamba ni yeyeee!Ohooooo...Chief ndo umepotea kabisa ujue😅😅😅..na halafu Kwanini umemuita huoni kama unamsumbua wakati sio yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahii kauli mwamba ni yeyeee!Ohooooo...Chief ndo umepotea kabisa ujue😅😅😅..na halafu Kwanini umemuita huoni kama unamsumbua wakati sio yeye
the bossSiwezi mtaja lakini kaweka avatar ya muigizaji wa kiume(mmarekani)movie zake huwa ninazipenda sana.atakaepatia ni nani zawadi nono nitatoa[emoji41]
Anajaribu kunitoa kwenye reli lakini Psychology inakataa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Kwahii kauli mwamba ni yeyeee!
Movie inaitwa I’m in wat!!😅😅😅😅punguza kufoka foka basi na wew tuanze kukufikiria.Hahaha kumbe, tafta ile movie yake ya I'm in love with church girl hutojutia...Au nije nikuletee baadae.
Mie nazikubali hizo lips kinoma. Ungeniruhusu nije kuvinjari nazo leo jioni ningepanda coaster chap nisogee hapo ulipo. Maana umbali tuliopishana toka kwako na nilipo ni buku 3 tu.😍
😳😳😳hapana wapendwa msifike mbali kote huko.sio yeye Kwanini mnanilazimisha?sijisikii vizuriKwahii kauli mwamba ni yeyeee!
Loh hadi wewe mkuu..unauhakika gani.acha hizo mambo joo..kweli sio yeyeAnajaribu kunitoa kwenye reli lakini Psychology inakataa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Tatizo lako na wewe unapoteaga sna jukwaani loh.mpka tunakusahauDuuuuh yaan nmepitia komenti zote
Sijatajwa na Ke yoyote
Ila wanawake wanajua kupishana na Maisha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabia zenu watoto wa kike akimpenda mtu anajifanya anamkandia. Mara oh sio yeye ila moyoni kanaumia. Saikolojia ya mtoto wa kike ni nyepesi sana kama ukibahatika kuishi nao vizuri.😳😳😳hapana wapendwa msifike mbali kote huko.sio yeye Kwanini mnanilazimisha?sijisikii vizuri
MhmhhhSiwezi mtaja lakini kaweka avatar ya muigizaji wa kiume(mmarekani)movie zake huwa ninazipenda sana.atakaepatia ni nani zawadi nono nitatoa[emoji41]
Hahahah sahizi nimesogea karibu na huduma si unajua mwezi wa mwisho ndio huu aki tena nilipo ni buku 3 tu.😂😂😂😂😂 Penye mnara wa Mwanajeshi hapa.(Maji ni uhai)Movie inaitwa I’m in wat!!😅😅😅😅punguza kufoka foka basi na wew tuanze kukufikiria.
😅😅😅😅chizi sana wewe ujueee ..kutoka hapo ulipo na mimi nilipo..nauli
Kilimanjaro 35000
BM-36000.
Hivi hujatajwa tu na Chakorii kitoto kinakuzimikia hicho mpaka huwa kunafananisha watu na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahah sahizi nimesogea karibu na huduma aki tena nilipo ni buku 3 tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Penye mnara wa Mwanajeshi hapa.(Maji ni uhai)
Haiwezekani upende movie za Anorld, so naona tu sio mimi.Au tufanye ndo wewe.unaonaje Eli[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani wewe humpendi Anorld, ukimpemda Anorld umenipenda mimi.Rudisha bwana.
Unaona sasa umeanza kufoka we mtu...unaona lakini!!Tabia zenu watoto wa kike akimpenda mtu anajifanya anamkandia. Mara oh sio yeye ila moyoni kanaumia. Saikolojia ya mtoto wa kike ni nyepesi sana kama ukibahatika kuishi nao vizuri.
Kuna mwanangu ana duka la nguo. Yeye huwa ananiambia hawa wadada saikolojia yao iko very simple. Anachukua nguo 3 anampa ajaribishe...ile atakayoonesha kuikataa mapema basi jua ndio atainunua na kuipenda kuliko zote.
Natulia nacheki movie na kweli inakuwa vile vile. Women are very complicated kwa mtu anaetanguliza logic katika reasoning.
Kitoto hiko kina mbwembwe balaa. Kinanimaliza na lips umate umate 😂😂😂 ila ndio hivyo tena.Hivi hujatajwa tu na Chakorii kitoto kinakuzimikia hicho mpaka huwa kunafananisha watu na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aya sikufokei tena...Ukuje kwa Private nina jambo langu nataka nikwambie ila siri yako 😂😂😂Unaona sasa umeanza kufoka we mtu...unaona lakini!!
Inawezekana ni kweli wanawake tuko hivyo lkni isiwe % zote.
Kwani ningekubali nani angeniadhibu?jibu ni hakuna.haya basi tukate mzizi wa fitna,sio yeye.tuendelee na mpambano mjinyakulie zawadi nono.
We basta akili yako ni mbovu sana ujue😅😅😅
Lazima ntakuwa mmKuna mmoja siwezi mtaja, kaweka avatar ya ajabu yaani haina mvuto walaqhi, ila vile I am crushing on him huwa najikuta na fall in love na ile avatar yake kila nikiiona..!! [emoji23]