Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Naona wenye avatar nzuri na zakuvutia wanafarijiana sie lukuluku tusomeni comments tu
Wenye avatar za kikauzu hawawezi kupendwa...
Na mbaya zaidi unaweza kuta avatar inajinasibu kama demu kumbe ni "mchizi" mwisho wa siku unashawishiwa na dume lenzio....linakwambia "tuma nauli nije usisahau na ya kutolea" unajaa king kifala...
Tunasubiri mrejesho
 
Back
Top Bottom