Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Siwezi mtaja lakini kaweka avatar ya muigizaji wa kiume(mmarekani)movie zake huwa ninazipenda sana.atakaepatia ni nani zawadi nono nitatoa[emoji41]
Ni black American, yule mwenye tumasikio nimemsahau jina lake lakin picha yake ipo kichwani mwangu yan[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii Avatar huwa naipenda sana hasa huo mtuno wa lipsi unasadifu kuwa yaliyomo yamo/yanaweza kuwemo[emoji1]
Screenshot_20201121-171412.jpg
 
Back
Top Bottom