Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Mhhh! Kimboka kaka akufai, Ukimwi mtupu na vinuka mkojo na kuna mademu mateja wanajiuza mpaka buku..Kimboka
Pale kwa Ibrah?Ngalawa kijitonyama ni hataree ,
Iko barabarani au kwa ndani hiyo bar mkuu.Toroka uje , korogwe kimara
Pin point na Bougaloo wauzaji ndo wengiPin Point,The Don,Empire Sports Bar, Andrews, Sky Lounge,Mississippi, Bougaloo, Via Via na Cappuccino zote za Arusha ni balaa.Unakula Stereo ya kufa mtu.
Jina languKimboka
tatizo pale wanajifanya wa bei juu sana,mkuu ushawahi kuja negro mbaliziCity pub Mbeya
wewe ndio mjinga,as long as iko jukwaa sahihi hakuna mada ya kijingaMada za kijinga zinapata wachangiaji hatari sana
Latino pub ( Ipogolo, Iringa)
Nimewahi kuingia siku moja hapo mahali, kuna watoto hatari utadhani wamejiumba.!picnic arusha
Wewe utakuwa hanithi siyo bure, sasa hapa umefuata nini?Mada za kijinga zinapata wachangiaji hatari sana
RespectNi Kahumba Mkuu. Hiyo sehemu kuna mwaka huko nyuma ilinifanya nichome sana Sindano Kali za Antibiotic ili Kuunusuru Mkuyenge wangu usinyofoke wote kutoka pale ambapo uliumbwa na Muumba uwe unakaa huku kila asubuhi mnara wa Babeli huwa unanyooka.
Morogoro Shikamooni na Kahumba yenu!
Mkuu hii dally kimboko hivi huwa ni kweli??
Mkuu una uzoefu mkubwa na mzuri sana. Kama unawajua panya wa toroka uje wewe kiboko.
City pub n Lounge mwanjelwa