Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Pin Point,The Don,Empire Sports Bar, Andrews, Sky Lounge,Mississippi, Bougaloo, Via Via na Cappuccino zote za Arusha ni balaa.Unakula Stereo ya kufa mtu.
Pin point na Bougaloo wauzaji ndo wengi
 
nyie wote hamuijui london,iko iyunga mbeya,kuna wabebez wale wa lekibamiaz wakasome..
 
pamoja na negro iko mbalizi mbeya,kuna mbebez ana mkwindundu unatoka iringa mjini na ipogolo..sijui kabila gani yule wallakhi
 
Ni Kahumba Mkuu. Hiyo sehemu kuna mwaka huko nyuma ilinifanya nichome sana Sindano Kali za Antibiotic ili Kuunusuru Mkuyenge wangu usinyofoke wote kutoka pale ambapo uliumbwa na Muumba uwe unakaa huku kila asubuhi mnara wa Babeli huwa unanyooka.

Morogoro Shikamooni na Kahumba yenu!
Respect
 
Mkuu una uzoefu mkubwa na mzuri sana. Kama unawajua panya wa toroka uje wewe kiboko.

Hapo hao Panya wa Toroka Bar walininyofolea Tsh 10,000/= yangu na kusababisha nijipendekeze na kuomba ushirikiano wa Kihuruma kwa Kondakta kuomba msaada wa kunisafirisha bure hadi Kituo changu cha mwisho cha Safari na nikafikia tu Kulala huku nimenuna usiku Kucha.

Na mara nyingi hata nikiwa katika Daladala tukipita tu hapo huwa sitaki hata kupaangalia / kupakodolea kwani huwa nakumbuka mengi Mkuu.

Shikamoo Toroka Bar.
 
City pub n Lounge mwanjelwa

Hapo nasikia kumekithiri mno kwa Dally Kimoko Mkuu na Madereva wengi ninaowafahamu wa Magari ya Mizigo na Mafuta sasa hivi wanalipiga mno hilo Gitaa maarufu ambalo hata ukiwa Kaburini utaendelea tu kulisikia.
 
Back
Top Bottom