GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #81
rode club hapa singida hatareee tatzo wengi hawana visimi
Iko moja huko A town inaitwa matako baa eneo la Sanawari, kutoka stendi unaingia barabara ya Nairobi unaelekea Dar. Hapo kuna tukunyema zinakaribia kuanguka!
Hajauliza gulio ama mnada!, kauliza bar! kimboka sio bar, ni gulio! unanusa harufu za k na sh.ahawa mita 100 kabla hata hujafika paleKimboka
Suma bar kuna mtoto mdogo kama 18 mtoto mzuri saana walah anamiguu macho Na anajua kuvaa sket mapaja wazziii kama hayupo bar hiyo huwa sikai
napapata hapo mkuu..kuna lile bar made bonge nilikua nalilia timing,bahati yake niliondoka mwanza mapema.
Moderators mtusaidie jamani kwaresma hii.
Kuna mahali nilipita panaitwa Mwailubi Carwash & lounge nadhan. Pale mabaamedi wana mashindano ya matako aisee
KAHUMBA MOROTOWN, HILI NALO NI GULIO,SIO BARKaumba
Mhhh! Kimboka kaka akufai, Ukimwi mtupu na vinuka mkojo na kuna mademu mateja wanajiuza mpaka buku..
Mada za kijinga zinapata wachangiaji hatari sana
wewe ndio mjinga,as long as iko jukwaa sahihi hakuna mada ya kijinga
MsambwandaWanawake wazuri wanapatikana baa? Au uzuri umetafsiriwaje hapa?
Wewe utakuwa hanithi siyo bure, sasa hapa umefuata nini?
Huoni kama unadhihirisha jinsi ulivyo mjinga wa kwanza na mpumbavu kabisa kwa kuchangia mada ya kijinga?
mkuu hakuna kitu kigumu kama kuishi na mashoga,huwa hawaelewekiSafi sana kwa kumpa jibu mujarab / sahihi kabisa Mkuu japo na Mimi nimeshampa tayari dozi yake na nadhani itamuingia vilivyo.
Miami pale kuna ngoma sana mzee, hapafai.Duh Iringa kuna viwanja vipya mpaka ipogoro, nilizoea sana Miami
Njoo lastanza bar hapa uone wadada wanafanania kama wake za watu vile,ni wazur balaa,huyu jamaa mwenye lastanza sjui kwann kwamwaga madem weng hiv?yaan wahudum wanazid 20,af vyumaaa
HV kahumba bado IPO??Kaumba