Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Iko moja huko A town inaitwa matako baa eneo la Sanawari, kutoka stendi unaingia barabara ya Nairobi unaelekea Dar. Hapo kuna tukunyema zinakaribia kuanguka!

Sasa kama Baa yenyewe tu inaitwa Matako ( Makalio ) hivi unadhani kabisa Sebene la nguvu la Gitaa la Dally Kimoko

litakosekana hapo?
 
Suma bar kuna mtoto mdogo kama 18 mtoto mzuri saana walah anamiguu macho Na anajua kuvaa sket mapaja wazziii kama hayupo bar hiyo huwa sikai

Kwahiyo Mkuu huyo Binti ameshakufanya usiugue Malaria?
 
napapata hapo mkuu..kuna lile bar made bonge nilikua nalilia timing,bahati yake niliondoka mwanza mapema.

hahaha. Na yule wengi wamepiga sana. Alikuwepo mmoja dizaini kama msomali alisababisha hadi wadau wakapiga chupa.
 
Moderators mtusaidie jamani kwaresma hii.

Ungekuwa unaijua Kwaresma kweli ungethubutu hata tu Kuuchungulia huu uzi? Hopeless! Funga yako isiharibu Starehe za wengine na kila Mtu anaishi Kimpango wake hapa Duniani na ni Mwenyezi Mungu tu pekee anayejua idadi ya Kuni cha Kumchomea GENTAMYCINE na stroke hivyo acha kuifanya Kazi yake tafadhali.
 
Kuna mahali nilipita panaitwa Mwailubi Carwash & lounge nadhan. Pale mabaamedi wana mashindano ya matako aisee

Mkuu hapo uliposema tu matako tayari umeshaninyegeza hapa nilipo na sasa najiandaa kulisaka Jimama moja hivi Tegeta Masaiti nikamalizane nalo ili siku yangu iende vyema.
 
Mhhh! Kimboka kaka akufai, Ukimwi mtupu na vinuka mkojo na kuna mademu mateja wanajiuza mpaka buku..

Hiyo Buku unatajiwa Wewe tu Wakuja uliyetoka huko Mbwinde, Kyaka Nkunde na Ikupiliba Nkoba Villages Mkuu ila Sisi wenzako Mamemba wa Kutukuka wa Kimboka Mbunye huwa tunapewa kwa Mkopo na Mshahara ukiingia tunawasilisha Madeni yetu na mwendo ni kama kawaida Kanyaga twende, mbele kwa mbele na mwendo mdundo.
 
wewe ndio mjinga,as long as iko jukwaa sahihi hakuna mada ya kijinga

Safi sana kwa kumpa jibu mujarab / sahihi kabisa Mkuu japo na Mimi nimeshampa tayari dozi yake na nadhani itamuingia vilivyo.
 
Wewe utakuwa hanithi siyo bure, sasa hapa umefuata nini?

Huoni kama unadhihirisha jinsi ulivyo mjinga wa kwanza na mpumbavu kabisa kwa kuchangia mada ya kijinga?

Safi sana Comrade ( Kamarada ) kama vipi muongezee dozi nyingine. Yaani ana bahati amenikuta GENTAMYCINE wa 2018 ni mpya kabisa ila ingekuwa enzi zangu angejuta kunifahamu Mpuuzi huyo.
 
Njoo lastanza bar hapa uone wadada wanafanania kama wake za watu vile,ni wazur balaa,huyu jamaa mwenye lastanza sjui kwann kwamwaga madem weng hiv?yaan wahudum wanazid 20,af vyumaaa
 
Njoo lastanza bar hapa uone wadada wanafanania kama wake za watu vile,ni wazur balaa,huyu jamaa mwenye lastanza sjui kwann kwamwaga madem weng hiv?yaan wahudum wanazid 20,af vyumaaa

Ni PAZURI Lakini wana huduma mbovu sijawahi kuona! Sorry...Sina nia ya kuharibu biashara za watu. Nilikwenda hapo kupata moja baridi moja moto.....Lakini kwa huduma niliyopewa nikasema sitakwenda hapo tena labda niwe na miadi ambayo haikwepeki kufanyikia hapo.
 
Back
Top Bottom