Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Muhudumu aongwe fifty bucks.![emoji15] very rare. Labda wale Dada poas wanaozunguka na kuzengea bar hizo. Akipigwa na njemba 4 usiku mmoja atapata hiyo amount.
Lakini maids no.
Nenda De France hotel.kisha rudi mpaka kwetu pazuri Tabata.halafu utanipa mrejesho tembelea kwa research tu.au Arusha hapo Picnic
 
Muhudumu aongwe fifty bucks.![emoji15] very rare. Labda wale Dada poas wanaozunguka na kuzengea bar hizo. Akipigwa na njemba 4 usiku mmoja atapata hiyo amount.
Lakini maids no.
Aisee, experience muhimu wakati mwingine anaacha wekundu watatu hadi watano ili aondoke na mzigo kuna mwingine anamwacha mdogo wake mwekundu tena mmoja tu.
World is not fair [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
wale wadada wa saloon za massage. Wazoefu huku nako vp?
 
wale wadada wa saloon za massage. Wazoefu huku nako vp?

Ulichokiandika hapa kinahusiana vipi na Uzi ulioko hewani?

Nakushauri tulia kisha na Wewe anzisha uzi wako maalum unaozungumzia hicho ulichokiandika au kama hujui kuanzisha uzi niambie nitakusaidia Kuuandika ila siyo kudandia mada za Watu na kuanzisha mada zako ndani ya mada Kuu tena ya ' Purely Talented and Charismatic Fella ' GENTAMYCINE.
 
Madereva wa malori sio wapenz wj city pub...hao viwanja vyao ni shikamoo pub,free park,makasin bar zote za uyole mbeya huko kweli dally kimoko hakosi!!
Ni nani huyu dally kimoko? [emoji3]
 
Back
Top Bottom