elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 803
- 1,482
Ila blue alipendelewa japo anajua sana.Wakati blue anaingia na beat likabadilika kumakaribisha blue
Alikua anampendeleaga ngwair
Ngwair kichwa sijabisha. Ila alikua anaandaliwa beat nzuri sana n majani kuliko wengine.
Angalia beat kama la mikasi nani mwingine kashawahi kupendelewa vile
Beat la mikasi sio ngwair,ni proffesa Ludigo..majani kashirikishwa kwenye nyimboNgwair kichwa sijabisha. Ila alikua anaandaliwa beat nzuri sana n majani kuliko wengine.
Angalia beat kama la mikasi nani mwingine kashawahi kupendelewa vile