Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

-Ngwea ft Fid Q - CNN

-Geez mabovu - Mtoto wa kiume

-One,Sterio,Nikki mbishi ft Fid Q- Classic
-Roho 7 - Nakupenda Hip hop

-Stopa the Rhymecca - Style 3

- Hamidu ft Blue, G nako -26 Number
 
Geez Mabovu MIMI
Prof Jay Nawakilisha
Gk ft A.Y hii leo
Roho 7-Nakupenda Hiphop
Bwana Misosi-Nitoke Vipi
Gollira killers-Joanita
TNG-Bongo.com
Joslin-Perfume.
Mb Dog-Natamani
Mez B-Nimekubeli
Prof jay nikusaidieje
Mr Paul chocolate
Bob junior-Nichum


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CNN-Albert Mangwea
wangu- rich one ft dully
tamala- hardmad
nyota yangu- tid
nje ya 18- weusi

muziki ulikua muzuki kweli enzi za akina P funk,mika mwamba, lamar, said komorie na wakali wengine wengi.salute kwao
 
Kwakweli mziki wa zamani ulikuwa na radha yake unakuta Beat nzuri na mixing za hatari hapo mnyama majani anakuwa kasimamia show ndani ya Bongo Records siyo Beat za hawa akina tetema unakuta Beat lina fujo utadhani muungurumo wa basi la Scannia.

Sent using my infinix hot 6 pro
 
Kulikuwa na chemistry nzuri kati ya producer na msanii i guess
Ngwair kichwa sijabisha. Ila alikua anaandaliwa beat nzuri sana n majani kuliko wengine.
Angalia beat kama la mikasi nani mwingine kashawahi kupendelewa vile
 
Daah ngoma zote kali acha niwekee hii sijaona ikitajwa

6 in da morning cpwaa
 
Bishoo, Kama unataka demu: Jay Moe beats za Majani., Bye Bye - Joh Makini beat ya Pancho
 
ukiambiwa taja hata beats 3 bora, ikikosekana ya P. Majani wewe acha kusikiliza mziki.

Mimi naongezea, Tuko juu - Ngwair.
 
Ngwair kichwa sijabisha. Ila alikua anaandaliwa beat nzuri sana n majani kuliko wengine.
Angalia beat kama la mikasi nani mwingine kashawahi kupendelewa vile
Beat la mikasi sio ngwair,ni proffesa Ludigo..majani kashirikishwa kwenye nyimbo
 
Back
Top Bottom