Taja comments zoeleka zinazokukela humu JF

Taja comments zoeleka zinazokukela humu JF

"TAFUTA HELA WEWE"
Unakuta kaamtu kanakoandika hivi kamekakamaa na njaa kapo tu kijiweni kanapiga stori kuwa bandari imeuzwa.

Au unakuta ni jobless miaka mitano anaishi kwa ndugu, halafu unakuta ndugu alikaambia kajishughulishe na hata vibarua ila kanakataaa.

Cha kushangaza kuna mtu ataaandika "tafuta hela wewe" kwenye comments hahaha

Taja nyingine unazozijua.
Hahaahaa Dah, Kuna wale vichaa wa "subiri wanakuja"
 
Back
Top Bottom