Taja dalili za mwanamke tapeli kwenye mapenzi

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,526
Mambo vipi wadau natumaini mko poa kabisa,

Naomba tupeane uzoefu wa kumtambua binti anaeigiza matendo ili kukufanya ujione mjuzi kwenye mahaba kumbe wapi anakuigizia tu au tapeli kabisa ili akupige mpunga mwingi,

Naanza mimi:-

1. Ukimpiga denda tu anaanza kutoa miguno - broh huyo demu ni tapeli.

2. Ukimshika tu sehemu yoyote anaruka mita 2 kama vile kapigwa na shoti ya umeme- stuka broh huyo ni tapeli.

3. Ukiizamisha tu anaanza kulia eti taamu wakati hata mechi haijachanganya, huyo ni tapeli.

Taja na wewe mwanaume mwenzangu tuwaumbue hawa viumbe.
 
Hautaweza,endelea na mambo mengine

images.jpeg-3.jpg
 
Mambo vipi wadau natumaini mko poa kabisa ,

Naomba tupeane uzoefu wa kumtambua binti anaeigiza matendo ili kukufanya ujione mjuzi kwenye mahaba kumbe wapi anakuigizia tu au tapeli kabisa ili akupige mpunga mwingi,

Naanza mimi:-

1. Ukimpiga denda tu anaanza kutoa miguno - broh huyo demu ni tapeli.

2.ukimshika tu sehemu yoyote anaruka mita 2 kama vile kapigwa na shoti ya umeme- stuka broh huyo ni tapeli.

3.Ukiizamisha tu anaanza kulia heti taamu wakati hata mechi haijachanganya , huyo ni tapeli.

Taja na wewe mwanaume mwenzangu tuwaumbue hawa viumbe.
Sio fair..
 
1.anajifanya hapendi hela wakati mwanamke halisi anapenda hela ili azione tu na sio azitumie.

2.akijifanya anaonesha dalili za kufika kileleni wakati wewe unataka kukojoa huyo ni tapeli mkubwa kwa sababu hakuna mahusiano ya kukojoa mwwnaume na kufika kileleni mwanamke,ni vitu tofauti.

3.akikuhakikishia kwamba unamridhisha(kufika kileleni)kila unapokutana nae kimwili basi huyo tapeli.
 
Mambo vipi wadau natumaini mko poa kabisa ,

Naomba tupeane uzoefu wa kumtambua binti anaeigiza matendo ili kukufanya ujione mjuzi kwenye mahaba kumbe wapi anakuigizia tu au tapeli kabisa ili akupige mpunga mwingi,

Naanza mimi:-

1. Ukimpiga denda tu anaanza kutoa miguno - broh huyo demu ni tapeli.

2.ukimshika tu sehemu yoyote anaruka mita 2 kama vile kapigwa na shoti ya umeme- stuka broh huyo ni tapeli.

3.Ukiizamisha tu anaanza kulia heti taamu wakati hata mechi haijachanganya , huyo ni tapeli.

Taja na wewe mwanaume mwenzangu tuwaumbue hawa viumbe.
Mwanamke tapeli huwa ana sifa zifuatazo

1.hujifanya mwema kwako kipindi ambacho ana shida

2.hapendi umuulize muulize maswali maana anaona kama unamchosha

3.vizinga

4.kila ukiomba game hakosi visingizio ili mradi akunyime

5.mara nyingi anaweza kukwambia nitakufuta alafu hakutafuti

Solutions

Ukiona dalili hizi kimbia kimya kimya akikutafuta mwambie uko bize tuu akiwa na shida mwambie sina sina
 
Back
Top Bottom