Taja dalili za mwanamke tapeli kwenye mapenzi

Taja dalili za mwanamke tapeli kwenye mapenzi

1 na 2 bas mi kubwa la Taperi...nimetoa lai mapema msijesema sijawaambia.Maana siwez zuia mihemko ninapokutana na my man ...wengine hatuliwi daily so siku zinagongana has na chanya mwili unakuwa si wako tena unalia pasipo sababu. ....MTU anaweza dhan wamwigizia kumbe ulimiss kweli mambo hayo wallah ...Embu achen kutafsiri mapenz wanaume mkipenda pendeni hiyo raha yenyewe....khaa
 
Mambo vipi wadau natumaini mko poa kabisa,

Naomba tupeane uzoefu wa kumtambua binti anaeigiza matendo ili kukufanya ujione mjuzi kwenye mahaba kumbe wapi anakuigizia tu au tapeli kabisa ili akupige mpunga mwingi,

Naanza mimi:-

1. Ukimpiga denda tu anaanza kutoa miguno - broh huyo demu ni tapeli.

2. Ukimshika tu sehemu yoyote anaruka mita 2 kama vile kapigwa na shoti ya umeme- stuka broh huyo ni tapeli.

3. Ukiizamisha tu anaanza kulia eti taamu wakati hata mechi haijachanganya, huyo ni tapeli.

Taja na wewe mwanaume mwenzangu tuwaumbue hawa viumbe.
Yule ambaye hatoi mbususu on first meeting
 
Mtoa mada MDA Huu[emoji4]
JamiiForums-1621418538.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana, mambo yao waachieni wenyewe...
 
1. Ukimfata Anacheka cheka Kama kapunguziwa Bei ya mafuta

2. Kabla ya masaa 24 kutoka umuone ana kubatiza jina honey
Na sms za " baby ntakununulia mwamvuli kipara kisije kuwa mradi wa kuzalisha umeme"

3. Aombi hela Ila anaongalia wallet Kama anatengeneza saa mbovu

Muhimu:: kuwa makini na matapeli
 
😂😂😂😂
Kazi kweli kweli
 
mi kama siko comfortable kukaa naye nampotezea tu, haya mambo yakujua kama ni tapeli nawaachia CIA
 
Mkiwa bar mnakunywa mziki ukapigwa akaanza kucheza mziki mbele yako huyo ni tapeli na huko kucheza ana kucheza wewe ni kama anasema lijinga hili nalinywea
 
Back
Top Bottom