Taja dalili za mwanamke tapeli kwenye mapenzi

1 na 2 bas mi kubwa la Taperi...nimetoa lai mapema msijesema sijawaambia.Maana siwez zuia mihemko ninapokutana na my man ...wengine hatuliwi daily so siku zinagongana has na chanya mwili unakuwa si wako tena unalia pasipo sababu. ....MTU anaweza dhan wamwigizia kumbe ulimiss kweli mambo hayo wallah ...Embu achen kutafsiri mapenz wanaume mkipenda pendeni hiyo raha yenyewe....khaa
 
Yule ambaye hatoi mbususu on first meeting
 
Poleni sana, mambo yao waachieni wenyewe...
 
1. Ukimfata Anacheka cheka Kama kapunguziwa Bei ya mafuta

2. Kabla ya masaa 24 kutoka umuone ana kubatiza jina honey
Na sms za " baby ntakununulia mwamvuli kipara kisije kuwa mradi wa kuzalisha umeme"

3. Aombi hela Ila anaongalia wallet Kama anatengeneza saa mbovu

Muhimu:: kuwa makini na matapeli
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kazi kweli kweli
 
mi kama siko comfortable kukaa naye nampotezea tu, haya mambo yakujua kama ni tapeli nawaachia CIA
 
Mkiwa bar mnakunywa mziki ukapigwa akaanza kucheza mziki mbele yako huyo ni tapeli na huko kucheza ana kucheza wewe ni kama anasema lijinga hili nalinywea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…