Taja hofu inayokusumbua

Taja hofu inayokusumbua

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Tuambie shida mbili au tatu zinazokusumbua
Mimi binafsi
1.hofu ya tatizo la kuumwa macho siku za mbeleni kwa sababu ya kutumia simu muda mrefu macho yanakaribia kufa naona kabisa yanaeza hata yakafa mwanga wa simu unaniumiza
2.wasiwasi nikisikiaga Watu wanavyokufa kila kukicha huku na me mwenyewe Ni mlevi wa pombe yaani hata sijui kukoje huko kwenye figo na maini Kama hakuna kansa sijui Kuna nini
3.hofu ya kuja kukosa hamu ya tendo la ndoa siku moja..nahisigi siku moja nitashindwaga kuinua ndude.itakuwa Ni aibu Sana
4.hofu ya kufilisika naogopa Sana nahisi mtaji wangu wa biashara unaweza kuja kupotea nitakuwa mgeni wa nani ujanja wote utaisha
Ni zamu yako nambie na we Una hofu gani Sana moyoni mwako.
 
Nawaza sana nilivo na nywele nyingi sijui Siku ya ku'graduate ile kofia ntaivaaje daah na nilivo staki ata kupunguza nywele zangu.
 
Tuambie shida mbili au tatu zinazokusumbua
Mimi binafsi
1.hofu ya tatizo la kuumwa macho siku za mbeleni kwa sababu ya kutumia simu muda mrefu macho yanakaribia kufa naona kabisa yanaeza hata yakafa mwanga wa simu unaniumiza
2.wasiwasi nikisikiaga Watu wanavyokufa kila kukicha huku na me mwenyewe Ni mlevi wa pombe yaani hata sijui kukoje huko kwenye figo na maini Kama hakuna kansa sijui Kuna nini
3.hofu ya kuja kukosa hamu ya tendo la ndoa siku moja..nahisigi siku moja nitashindwaga kuinua ndude.itakuwa Ni aibu Sana
4.hofu ya kufilisika naogopa Sana nahisi mtaji wangu wa biashara unaweza kuja kupotea nitakuwa mgeni wa nani ujanja wote utaisha
Ni zamu yako nambie na we Una hofu gani Sana moyoni mwako.
nawaza kesho asubuhi ntakojoaje maana naona kabisa huyu ma.ya.la kanipa go.no
 
Binafsi hofu yangu kubwa ni kesho ntakula nini mana sina ata mia, kesho ikipita nahofia tena kesho kutwa. Nahis mpka nikipata pakuegesha.
SASA HII NDO BIG HOFUUUUU, je mwanamke nitakayemwoa, acha niishie hapa ila hii hofu inanifanya nichelewe na kuoa mana nikiwa kwe mahusiano nikimtest anayeweza kuwa mfungwa mwenzangu nagundua kabisa hatutafika nam natamn NDOA yangu ikawe na furaha aman tele mpk mavumbini💯 ila hii HOFU, NI HOFU KWELI AISEE
 
Hofu yangu nikienda kupima ngoma alafu ije iwe positive..na nikikumbuka sarakasi zangu..ahhh....ndo mana sipimi....yanini kujipa hofu ...
 
Back
Top Bottom