ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Tuambie shida mbili au tatu zinazokusumbua
Mimi binafsi
1.hofu ya tatizo la kuumwa macho siku za mbeleni kwa sababu ya kutumia simu muda mrefu macho yanakaribia kufa naona kabisa yanaeza hata yakafa mwanga wa simu unaniumiza
2.wasiwasi nikisikiaga Watu wanavyokufa kila kukicha huku na me mwenyewe Ni mlevi wa pombe yaani hata sijui kukoje huko kwenye figo na maini Kama hakuna kansa sijui Kuna nini
3.hofu ya kuja kukosa hamu ya tendo la ndoa siku moja..nahisigi siku moja nitashindwaga kuinua ndude.itakuwa Ni aibu Sana
4.hofu ya kufilisika naogopa Sana nahisi mtaji wangu wa biashara unaweza kuja kupotea nitakuwa mgeni wa nani ujanja wote utaisha
Ni zamu yako nambie na we Una hofu gani Sana moyoni mwako.