Taja 'horror movies' zenye ubunifu mkubwa na wa pekee

Upo vizuri kwenye ku narrate, umenifanya nikatafute hizo movies...
Endelea na nyingine Kama huto jali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru. Ntaendelea zaidi ila chunga usije ukaacha kuzitafuta hizo movies sababu tayari nshazihadithia
...[emoji23] [emoji23] maana wengine tukisimulia mpaka siku ukiiona movie unasema mbona kama nshawahi iona mahali hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni ke au me
 
Hivi umesoma ukajua mtoa mada anataka haswa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo shida ya kuwa mpumbavu ndomaana me nawaheshimu Sana waalimu, waalimu wanashida Sana sana ya kufundisha watu wa aina hii Jambo dogo la namna hii mtu anashindwa kuelewa ndo ataweza logarithms? wabongo sijui tuna matatizo gani?
 
The orphan ni muvi nzurisa asana kwa maelezo yalioshiba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The best horror movie 2019 ni It: Chapter 1 na it: chapter 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu leta chapisho na ukileta ni tag


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

unaijua vizuri wrong turn mkuu ? ubunifu mkubwa umetumika pale hasa part 1 na 2 ni idea za tofauti sana so usiichukulie poa ile movie, wametengeneza icon yao ukiwana three fingers na wale mutant wengine unajua tu ni wrong turn
ile ni movie ambayo hata sasa wakiamua kuicheza tena kwa idea ile ile itapendeza tu so usiwadharau


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…