Taja 'horror movies' zenye ubunifu mkubwa na wa pekee

The Ruins
Inahusu sehemu iliachwa kutumika kutokana na jinsi ilivyikuwa inamaliza watu kutokana na mizizi yake kufuata damu mtu wanajikuta watu wanafanya vacation wanaenda hapo na wanalindwa wasitoke

LIFE
wako kwenye chombo huko angani kunamtafiti anafanya utafiti wa hicho kiumbe walichokikuta huko kinaanza kuua na kuongezeka ukubwa.
 
Watu wengine hatupendi kuangalia horror movie sio tu inatisha pekee Bali tunataka iwe ndani yake Ina mvuto ( idea nzuri) na unique ndo dhumuni kubwa ya Huu Uzi mfano mzuri ni "Final destination" japo ni horror movie lakini ina idea ya kipekee na yenye kuvutia ndani yake. Script writer wa hii movie alitumia ubunifu mkubwa na very unique sana pale ambapo watu wanakufa kwa matukio ya kutengeneza bila kuuliwa physical na mtu yoyote Jambo lingine linaloleta mvuto kwenye hii movie ni aina vifo wanavyokufa watu.

So na nyinyi tajeni horror movies zenu zenye ubunifu na mvuto ambazo zipo unique ukiondoa kutisha kwake kama nilivyoeleza kwa kifupi sio unatujia sijui wrong turn Mara course of llorona alafu unasema Zina ubunifu na unique na mvuto hatutakuelewa utakuwa uwelewi maana ya haya maneno ubunifu, unique na mvuto taja horror movie yako lakini lazima ziwe na haya mambo matatu.
Drag me to hell daaaaaah ni hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ndugu, Final Destination sio Horror movie.

Anyways, ni kweli kuna ka-ufanano fulani kwenye stories za horror kiasi kwamba waweza toka kwenye movie moja kwenda nyingine ukaona kinachobadilika ni actions tu ila story ni the same lakini waweza tazama hizi, angalau zina ideas unique.

1. Pet sematary - imekuwa inspired na Novel ya Steph King. Niliipenda idea yake ya eneo la ajabu ambalo hutumika kuzikia wanyama wa ndani (pets) kisha wanyama hao hurudi kuwa hai tena lakini katika namna ya ajabu kabisa. Shida inakuja pale familia moja ilipoamua kumzika mtoto wao mdogo hapo sababu ya kutokuwa tayari kumpoteza, matokeo yake familia nzima ikajikuta ardhini!

2. The Others - achilia mbali wazo lilizoeleka la nyumba fulani kufuatwa na mizimu na roho za ajabu, humu kilichonifurahisha ni muda wote nlokuwa natazama movie kumbe nilikuwa najiongopea, maana niliyekuwa namdhania ndiye akiteseka na mizimu, kumbe yeye ndiye mzimu wenyewe. Na wale waliokuwa wanadhaniwa ni mizimu ndo binadamu walokuwa wanakuja ndani ya nyumba hiyo.

3. The Orphan - familia moja iliyopoteza mtoto wao kichanga tumboni inaamua kum-adopt yatima wamlelee kama mtoto wao, ajabu ni kwamba mtoto huyo si mtoto bali ni mwanamke mwenye miaka 33 ila kutokana na matatizo ya hormones na pia make-ups amefanikiwa kujiweka kama mtoto. Mbali na hapo, anayeshuhudia mambo ya ajabu anayofanya yatima huyo ni mtoto bubu, kuhadithia hawezi akaeleweka.

4. The sixth sense - hapa mwanasaikolojia wa watoto anahangaika kumsaidia mtoto ambaye anajinasibu kuwa na uwezo wa kuona watu waliokufa. Haamini katika haya mambo lakini baadae anaanza kuamini anachosema.mtoto huyo lakini shida inakuja kwamba, mwanasaikolojia huyo naye alikuwa tayari ameshakufa na ndo mana akawa ana uwezo wa kuzungumza na huyo dogo. [emoji23][emoji23] si mchezo humo!

5. Get Out - nilipenda idea yao ya ku-transform mambo ya racism kwenda kwenye horror ambapo familia moja inamtumia binti yao kama chambo cha kuwavuta wanaume weusi nyumbani kwao ili wapate kuwafanyia surgery na kuwawekea ubongo wa wazungu wazee ama walemavu! Yani humo inaitwa kuingia ni BURE ila kutoka na roho yako sasa ndo KISANGA chenyewe!

6. The Visit - hapa watoto walikwenda kutembelea babu na bibi yao kwa mara ya kwanza kabisa ingali mama akiwa vacation. Watoto hawa wanaona vitu vya ajabu ajabu wakiwa huko. Baadae mama anakuja gundua kuna kitu hakipo sawa baada ya kuona picha za watoto wake na bibi na babu hao wanaoishi nao. Hakuwa anawatambua kama wazazi wake. Hakuwa anawajua kabisa! Na kumbe bibi na babu halisi walishakufa. Hao waliopo ni wagonjwa waliotoroka hospitali ya vichaa!

Aisee acha niishie hapa kwa sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Saf Sana watu Kama nyie Ndo mnatakiwa jf
 
Human centipedes

Hii inahusu Daktari ambaye alikuwa desperate, anaishi peke yake porini..
Akaanza kuteka watu, akafanikiwa kuwateka wadada wawili na jamaa mmoja..
Idea yake ilikuwa ni kuwafanyia upasuaji hao watu watatu alafu awaunganishe, yan mdomo unaungwa na kinyeo cha mwenzako[emoji3][emoji3]..
Hapo wa mbele ndo anakuwa na nafuu, yan wa kwanza akila msosi kimba linaenda wa wa pili, wa pili naye akiachia kitu kiende kwa watatu..
Ni idea ambayo ilionekana ya kijinga ila baadaye ikaja kuuza sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ndugu, Final Destination sio Horror movie.

Anyways, ni kweli kuna ka-ufanano fulani kwenye stories za horror kiasi kwamba waweza toka kwenye movie moja kwenda nyingine ukaona kinachobadilika ni actions tu ila story ni the same lakini waweza tazama hizi, angalau zina ideas unique.

1. Pet sematary - imekuwa inspired na Novel ya Steph King. Niliipenda idea yake ya eneo la ajabu ambalo hutumika kuzikia wanyama wa ndani (pets) kisha wanyama hao hurudi kuwa hai tena lakini katika namna ya ajabu kabisa. Shida inakuja pale familia moja ilipoamua kumzika mtoto wao mdogo hapo sababu ya kutokuwa tayari kumpoteza, matokeo yake familia nzima ikajikuta ardhini!

2. The Others - achilia mbali wazo lilizoeleka la nyumba fulani kufuatwa na mizimu na roho za ajabu, humu kilichonifurahisha ni muda wote nlokuwa natazama movie kumbe nilikuwa najiongopea, maana niliyekuwa namdhania ndiye akiteseka na mizimu, kumbe yeye ndiye mzimu wenyewe. Na wale waliokuwa wanadhaniwa ni mizimu ndo binadamu walokuwa wanakuja ndani ya nyumba hiyo.

3. The Orphan - familia moja iliyopoteza mtoto wao kichanga tumboni inaamua kum-adopt yatima wamlelee kama mtoto wao, ajabu ni kwamba mtoto huyo si mtoto bali ni mwanamke mwenye miaka 33 ila kutokana na matatizo ya hormones na pia make-ups amefanikiwa kujiweka kama mtoto. Mbali na hapo, anayeshuhudia mambo ya ajabu anayofanya yatima huyo ni mtoto bubu, kuhadithia hawezi akaeleweka.

4. The sixth sense - hapa mwanasaikolojia wa watoto anahangaika kumsaidia mtoto ambaye anajinasibu kuwa na uwezo wa kuona watu waliokufa. Haamini katika haya mambo lakini baadae anaanza kuamini anachosema.mtoto huyo lakini shida inakuja kwamba, mwanasaikolojia huyo naye alikuwa tayari ameshakufa na ndo mana akawa ana uwezo wa kuzungumza na huyo dogo. [emoji23][emoji23] si mchezo humo!

5. Get Out - nilipenda idea yao ya ku-transform mambo ya racism kwenda kwenye horror ambapo familia moja inamtumia binti yao kama chambo cha kuwavuta wanaume weusi nyumbani kwao ili wapate kuwafanyia surgery na kuwawekea ubongo wa wazungu wazee ama walemavu! Yani humo inaitwa kuingia ni BURE ila kutoka na roho yako sasa ndo KISANGA chenyewe!

6. The Visit - hapa watoto walikwenda kutembelea babu na bibi yao kwa mara ya kwanza kabisa ingali mama akiwa vacation. Watoto hawa wanaona vitu vya ajabu ajabu wakiwa huko. Baadae mama anakuja gundua kuna kitu hakipo sawa baada ya kuona picha za watoto wake na bibi na babu hao wanaoishi nao. Hakuwa anawatambua kama wazazi wake. Hakuwa anawajua kabisa! Na kumbe bibi na babu halisi walishakufa. Hao waliopo ni wagonjwa waliotoroka hospitali ya vichaa!

Aisee acha niishie hapa kwa sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu final destination ni horror
 
Horror Movie yenye ubunifu ni kitu
iite RESIDENT EVIL 1 up to 6
Sichoki kuitazama hii Movie
 
Back
Top Bottom