Taja 'horror movies' zenye ubunifu mkubwa na wa pekee

The Ruins
Inahusu sehemu iliachwa kutumika kutokana na jinsi ilivyikuwa inamaliza watu kutokana na mizizi yake kufuata damu mtu wanajikuta watu wanafanya vacation wanaenda hapo na wanalindwa wasitoke

LIFE
wako kwenye chombo huko angani kunamtafiti anafanya utafiti wa hicho kiumbe walichokikuta huko kinaanza kuua na kuongezeka ukubwa.
 
Drag me to hell daaaaaah ni hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saf Sana watu Kama nyie Ndo mnatakiwa jf
 
Human centipedes

Hii inahusu Daktari ambaye alikuwa desperate, anaishi peke yake porini..
Akaanza kuteka watu, akafanikiwa kuwateka wadada wawili na jamaa mmoja..
Idea yake ilikuwa ni kuwafanyia upasuaji hao watu watatu alafu awaunganishe, yan mdomo unaungwa na kinyeo cha mwenzako[emoji3][emoji3]..
Hapo wa mbele ndo anakuwa na nafuu, yan wa kwanza akila msosi kimba linaenda wa wa pili, wa pili naye akiachia kitu kiende kwa watatu..
Ni idea ambayo ilionekana ya kijinga ila baadaye ikaja kuuza sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu final destination ni horror
 
Horror Movie yenye ubunifu ni kitu
iite RESIDENT EVIL 1 up to 6
Sichoki kuitazama hii Movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…