Taja 'horror movies' zenye ubunifu mkubwa na wa pekee

The Russian Bride
Dem single mother anakutana na mzee mmoja tajiri kwenye dating site so anapanga safari kumfata kuishi nae. Wanakatutana, wanafunga ndoa ila baada ya hapo kinachofata ndani ya mjengo ni shida.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Saw 7
 
i think imetok 2013 had 2014
Kuna moja inaitwa final jinsaw imetoka 2010 sijui ndo itakuwa hiyo? Kuna binti mmoja atawekwa kwenye chumba chenye kujaa mchanga na ufunguo upo nje ya hiko chumba ambapo jamaa mmoja inabidi mguu wake ukatwe kwenye Hilo dude aliyofungiwa ili apate ufunguo ajitoe yeye pia amtoe mwanadada aliyopo kwenye hicho chumba Cha kujaa mchanga.
 
Aisee hiyo the Orphan ni ya mwaka gani? Maana kuna moja nimeona ni 2009 ila sasa naomba unioneshe cover lake lipoje
 
Nimeenjoy ulivoshusha intro mzee baba, apa nashusha baadhi ya Title kma *Pet Sematary, The Sixths Sense (Bruce Willis) , Get Out . Napakua yts 😁
 
Mkuu, hy namba 1 na exam ntazipataje kule kwenye channel yetu mana cjaziona mule
 
Kwenye h list, kule kwenye channel yetu kuna the others na orphans tuu, fanya kuleta na hizo nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…