Taja 'horror movies' zenye ubunifu mkubwa na wa pekee

Wakuu 🙌 Nme-screenshot comments zote zinazoelezea movies, kuna mahali hua naenda kula free WIFI aisee nawaahidi sitowaangusha.
Binafsi, horror movies ndio movies pekee ambazo utakuta nimekaa naangalia mana zinanipa hisia mubashara, horror movies nazopenda ni aina kama ya The Nun, Annabelle, The Conjuring, Ring na nyingine kama za aina hizo lakini sipendi horror movies aina kama ya Final Destination, Saw n.k
 
Kuna movie siikumbuki jina kuna bwana mmoja alikufa ila roho yake ikabaki kwenye jumba jeupe alilokuwa anaishi ile roho yake ikaanza kumsumbua mama aliyahamia kwenye hilo jumba mama wa watu akawa hakai kwa amani humo anakula mikwaju na huyo mtandika mikwaju ambaye haonekani kwa kuwa huyo mama alikuwa anajumba lingine sehemu nyingine akawa anakimbilia huko
 
Horror zinasaidia ku-burn calories hivyo zinapunguza unene na kilo
 
Kuna movie moja ya 2023 inakwenda kwa jina la Tin and Tina. Nimeipenda sana. Inaanza na mama mmoja yuko kanisani anafunga ndoa. Mara damu zikaanza kutoka, kumbe ni mimba imeharibika. Kupelekwa hospital madakta wakamwambia kuwa hataweza tena kuzaa mtoto maisha yake yote. Yeye na mume wake amabaye alikuwa ni pilot waamua ku-adopt watoto. Wakaenda nyumba ya masista iliyokuwa inatunza mayatima, waka-adopt mapacha wawili ambao walikuwa ni ma-albino, Tin na Tina kwa majina. Hawa watoto walikuwa wamelelewa kwenye maisha ya kusoma biblia muda wote, walikuwa kama walokole hivi. Mikasa iliyotokea kwenye maisha yao na wale wazazi wao wapya ni mingi, yakushangaza na kusikitisha.
 
the witch part1&2 korean
 
Final Destination, September 13th, F.Destination izo sio Horror izo tunaziweka kwenye Slasher movies.
 
Kali sana wale madogo walianza mdogo mdogo wanaua mbwa (pet) mbona walijuta. Una adopt mtoto haujui background.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…