Teh. Njoo arusha Tuchunge bhana.20 kwa 25 daby kitakutosha kabisa
Teh. Njoo arusha Tuchunge bhana.
[emoji6][emoji106][emoji106]nipo moshi nitakuja weekend weekend inayokuja nitakutafuta...😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kasie, shunie, miss natafuta & miss chagaNaamini kabisa kwamba wote tuliopo humu jf tuna umuhimu wetu kwa namna moja au nyingine ila hata hivyo haiondoi ukweli kwamba kuna baadhi ya wenzetu humu ( members ) ambao michango yao na uwasilishwaji wake huwa na mvuto sana kiasi kwamba inafika muda mtu unakuwa una hamu sana siku itokee tu uweze kuonana nae au umuone mubashara kabisa ili roho yako isuuzike.
Hivyo leo nimeona siyo vibaya nikiwashirikisheni nanyi ili kwa pamoja tuweze kuwataja hao members au member ambaye labda unaombea usitangulie kwanza kwa Mwenyezi Mungu Mbinguni kabla bado hujaonana au hujakutana nae kwani labda unampenda kiuchangiaji wake humu na anakuvutia sana na kila mara hukosi kumfuatilia mabandiko yake au mada zake.
Kwa kuanzia tu mimi natamani sana siku moja niweze kuonana na hawa members wa jf wanaonivutia na kunifurahisha mno hasa kwa aina ya michango yao na hata uchangamfu wao wa kiuchangiaji:
Karibu na Wewe Mkuu uweze kutaja members wako unaowakubali sana hapa jf.
- Maxence Melo
- Mike Mushi
- Asha Dii
- Bridger
- Active
- Reserved
- Silencer
Ngoja nikuunganishe na fieldmarshal wa kimombo Evelyn SaltHaha hapa inabidi niongee na mzee Asprin aniweke un'gen'ge siunajua kuhamia mitaa ya kishua bwana.
Maana huku uswahilini tushazoea kuongea kiswaengilish
Huyu nilijua mwanabailojia tufundishane reproduction maana bailojia yangu siielewiNgoja nikuunganishe na fieldmarshal wa kimombo Evelyn Salt
Hahaha Utakuja kumchukia mtu bure na kigari chake nduguHa ha ha haaaa.. Yaani mimi hua naimagine nyinyi ni watu flani hivi matajiri sana wanufaika wa mfumo..sometimes nikiona(ga) VX V8 linanipita kimoyomoyo najisisemea usikute huyo ndo MOTOCHINI mwenyewe.
The same to me.. huyu jamaa namkubali sanaa I wish nimwoneSomebody The bold or Bold
Mkuu Mimi hapo kati ya hao uliowataja mmoja wao tunafahamiana through JF as a means of knowing each other. Asante mkuu ...uliyepo kwa orodha tajwa.Miss natafuta
Sky elcat
Faiza fox
Miss chaga
Shunie
Jovitha
na mi nakutak kukuona weweMiss Natafuta na Miss Chaga, nataka niwaone kwenye sura mbili tofauti..... Teteteeeh!...ngumu kumeza