KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Mtakatifu YOHANA akamuuliza mwanaume mwizi, what is your my name? Baada ya hapo akaendelea, yes boss, yes boss, yes boss na mwishowe alisikika akisema good bye boss. Good morning your wife and babies
Vipi Faizafoxy?Miss natafutaa
Nyumbu ni timu mpya ya mpira? duh bongo kwa timu mpaka sigara na sasa nyumbu. wapo daraja la ngapi?
Taja bhanaa kakaWako wengi aisee .nikiwataja list haiishi
Usijali Abul utaniona tu tuombe uzimaa, ila wew siyo muudhuriaji sana wa Jf eeeMiss natafuta
Sky elcat
Faiza fox
Miss chaga
Shunie
Jovitha
Umeongea point kweli mkuuView attachment 524034 Naona vijana wana shauku kweli kweli ya kuonana na vijana wenzao........Mimi nawatakia kila la kheri kwenye kuonana kwenu......pia kuonana huko kuwe ni kwenye kujenga na mwanzo wa mahusiano mema......pia mjifunze kuwa na vifua....kuyahifadhi mabaya na mazuri ya wenzenu......
Mimi napita zangu tu....ila nikaona sio vyema kupita kimya kimya bila ya kuacha neno.....
Ni list ndefu mno My SisTaja bhanaa kaka
FundiiMshana Jr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewweeee kibokoNi list ndefu mno My Sis
Oh dear,tena wewe kadada ni kiasi cha muda tu tutaonana bae,thanks.