Taja JF member au members ambao una hamu kabla hujatangulia mbele za haki angalau uwe umewajua

Taja JF member au members ambao una hamu kabla hujatangulia mbele za haki angalau uwe umewajua

Mtakatifu YOHANA akamuuliza mwanaume mwizi, what is your my name? Baada ya hapo akaendelea, yes boss, yes boss, yes boss na mwishowe alisikika akisema good bye boss. Good morning your wife and babies
 
Humu unaweza kudhani umetaja mtu kumbe jini
 
View attachment 524034 Naona vijana wana shauku kweli kweli ya kuonana na vijana wenzao........Mimi nawatakia kila la kheri kwenye kuonana kwenu......pia kuonana huko kuwe ni kwenye kujenga na mwanzo wa mahusiano mema......pia mjifunze kuwa na vifua....kuyahifadhi mabaya na mazuri ya wenzenu......


Mimi napita zangu tu....ila nikaona sio vyema kupita kimya kimya bila ya kuacha neno.....
Umeongea point kweli mkuu

Kuna mahalii nimeona kitu cha kushangaza kweli
 
Kisu cha Ngariba,,,,,, sijui nimeseme nini natamani kweli kumuona,
 
Back
Top Bottom