Taja JF member au members ambao una hamu kabla hujatangulia mbele za haki angalau uwe umewajua

Taja JF member au members ambao una hamu kabla hujatangulia mbele za haki angalau uwe umewajua

Ha ha ha usjal mzee ukifika muda wa kuandikishiana niite Mie kama shahid hata dole gumba linatosha
Hahaha ushajipa kitengo! Ila hii offer kubwa saana bwana ukiifuata hauchelewi kuitwa majina pendwa JF.
 
Hahaha ushajipa kitengo! Ila hii offer kubwa saana bwana ukiifuata hauchelewi kuitwa majina pendwa JF.
Ha ha ha wewe Jina lako Lipo siku zote mzee nenda kafanye usajili tu
 
Ningeanza na wewe mtoa mada maana najua una undugu na huyu hapa
GENTAMYCINE
Barbarosa
Illovo
TAMITO TOMATO
General Galadudu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwenye makinikia sikutajwa kwa hiyo kutokutajwa huku sishangai

MI NATAMANI SANA kuonana na HEAVEN ON EARTH
 
Nashida na wasaka tonge wote,

Ambao formula ya life lao liko miguun pao,

Naver lay down to sleep...
 
KWAIO MIMI HAMNIKUBALI KABISAAA.....NA HAMTAK KUJA KUNIFAHAMU?? KWELI JAMANI
 
Natamani nijione mimi mwangangafyelile.maana sijijui wallah.yaani nikija kujiona amaa ntafurahi
 
Back
Top Bottom