Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
Dunia ina kila aina ya kazi na watu wake,kuongoza watu siyo sawa na kupendwa kwa mtu kwa sababu ya burudani anayotoa,umetaja watu ambao hata wakikusanya watu ni wahuni au watoto wa rika fulani maana watawafaa watu wa aina gani kiuongozi iwapo umaarufu wao uko kwenye nyimbo za matusi?mfano rahisi kwa mbunge mmoja huko kusini ambaye ni mwanamziki,tazama akiwa anachangia hoja anakua anaongea kwa hekima ili watu wamuelewe au ana rap mle bungeni? Kwa hiyo mambo mengine wala siyo ya kuleta hapa,afadhali ungekuja na hoja ya kufunga ng'ombe au kuku na mbuzi watu wajikomboe kwenye ukali wa maishahabari ZA KAZI WAUNGWANA!!!
HUU NI MWAKA WA UCHAGUZI MWAKA HUU UNAWEZA UKAWA NEEMA PIA KWA WASANII WETU MFANO
1. DIAMOND WCB ANAWEZA? JIMBO GANI
2.HARMONIZE KONDE BOY JIMBO GANI?
3.ALLY S. KIBA KING OF MUSIC JIMBO GANI
4. LADYJAYDEE NDANI JIMBO GANI?
5.N.K TAJA
MILANGO IKIFUNGULIWA TU TUTASIKIA MENGI.JE WANA NAFASI KATIKA JAMII???
Ungetaj na mkoa bas maadam [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Juma Lokole viti maalum