Taja jina au majina ya wasani wenye mvuto wa kisiasa wagombee jimbo gani waungane na kina Josefu Haule na Sugu

Taja jina au majina ya wasani wenye mvuto wa kisiasa wagombee jimbo gani waungane na kina Josefu Haule na Sugu

Sanyambila

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
378
Reaction score
510
Habari za kazi waungwana!!!

Huu ni mwaka wa uchaguzi mwaka huu unaweza ukawa neema pia kwa wasanii wetu mfano

1. Diamond WCB anaweza? Jimbo gani

2.Harmonize Konde boy jimbo gani?

3.Ally s. Kiba king of music jimbo gani

4. Ladyjaydee ndani jimbo gani?

5.N.K taja

Milango ikifunguliwa tu tutasikia mengi.Je wana nafasi katika jamii???
 
Kwa hao sijaona hata mmoja anayefaa..mimi kwangu
Roma -lushoto

Mwana FA -muheza
Wakazi-.......
 
  • Thanks
Reactions: PNC
habari ZA KAZI WAUNGWANA!!!

HUU NI MWAKA WA UCHAGUZI MWAKA HUU UNAWEZA UKAWA NEEMA PIA KWA WASANII WETU MFANO
1. DIAMOND WCB ANAWEZA? JIMBO GANI
2.HARMONIZE KONDE BOY JIMBO GANI?
3.ALLY S. KIBA KING OF MUSIC JIMBO GANI
4. LADYJAYDEE NDANI JIMBO GANI?
5.N.K TAJA

MILANGO IKIFUNGULIWA TU TUTASIKIA MENGI.JE WANA NAFASI KATIKA JAMII???
Dunia ina kila aina ya kazi na watu wake,kuongoza watu siyo sawa na kupendwa kwa mtu kwa sababu ya burudani anayotoa,umetaja watu ambao hata wakikusanya watu ni wahuni au watoto wa rika fulani maana watawafaa watu wa aina gani kiuongozi iwapo umaarufu wao uko kwenye nyimbo za matusi?mfano rahisi kwa mbunge mmoja huko kusini ambaye ni mwanamziki,tazama akiwa anachangia hoja anakua anaongea kwa hekima ili watu wamuelewe au ana rap mle bungeni? Kwa hiyo mambo mengine wala siyo ya kuleta hapa,afadhali ungekuja na hoja ya kufunga ng'ombe au kuku na mbuzi watu wajikomboe kwenye ukali wa maisha

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Mange Kimambi aje awaokoe wana Kawe sio kwa Barbara ile ya Makongo
 
Juma Nature - Temeke
Chid Benz - Ilala
TID - Kinondoni
 
Maojiita maraisi wa morogoro mjichunge wanangu, mkipita seginali mniache na ubunge wangu
 
Sioni kitu hapo zaidi ya umaarufu na vipaji vya kuimba, Siasa ni kitu kingine kabisa na hawana uzoefu
 
Back
Top Bottom