Taja jina la babu yako mzaa babu yako

Tunataka tulijue huenda alikuwa mmishonary

Ha ha haaaa

Tena la kwanza la kizungu na la pili la kikabila, na anasukuma kuelekea kusherekea miaka 100. Ni mtanzania wa asili kabisaaaa na hadi masomo ya juu pia alisoma ng'ambo ya huko ulaya.

Naishia hapo, jina nililiandika na kuamua kulifuta kwa sababu mbalimbali...humu JF. So nikaachia tu post ikae
 
mataifa yote au kabila zote ambazo zilikuwa hazina karatasi na kalamu hawakuwa na nukuu ya historia ya familia au koo zao. sana sana mtu akifikia babu wa pili ndio kaenda parefu katika kufafanua vizazi katika familia au kabila
 
Kwa wanaojua wachaga vizuri.. Kuna ile halfcast fulani hivi watu weupe weupe.. Ndo ilivo hata kwenye clan yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…