Taja jina la babu yako mzaa babu yako

Taja jina la babu yako mzaa babu yako

mataifa yote au kabila zote ambazo zilikuwa hazina karatasi na kalamu hawakuwa na nukuu ya historia ya familia au koo zao. sana sana mtu akifikia babu wa pili ndio kaenda parefu katika kufafanua vizazi katika familia au kabila
Mkuu kama umesoma history utakumbuka oral traditions
 
Ni kweli mkuu lakini Oral passed history haina mambo mengi sio kama ziliwekwa kwa maandishi
Oral narrations zipo katika ngoma nyimbo tenzi Na kuridhishwa kizazi hadi kizazi,INA maana kama hujui jina la babu Wa babu yako basi kuna uzembe ulifanyika
 
Babu mzaa babu Mzaa babu aliitwa NSHOLO,babu mzaa babu aliitwa PENYAGA,na babu mzaa baba aliitwa MWAGOSE hadi leo
 
Back
Top Bottom