Taja jina la member ambaye tabia yake huipendi

Namba 26

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
309
Reaction score
918
Kuna wadau humu miyeyusho sana.
Taja tabia usizozipenda kutoka kwao hivyo wajirekebishe.

Kwangu hawa nawaona miyeyusho sana

1)Sexyles
Huyu anaboa mara anajifanya wa kike mara wa kiume haijulikani.

2)kiduku lilo
Jamaa ana fake sana maisha.

3)Kiranga
Anasema haaimini uwepo wa Mungu ila mada za Mungu zikianza kujadiliwa huyo anajileta kutafuta kiki.
 
Kuna watu ukiwataja kesho utajikuta umelala juu ya bati ukiwa uchi na vyombo vya habari vitakuita weye mchawi na magazetini utatambaa na huko mitandaoni utajuta kuzaliwa!! Wkt nawewe hujui ulifikaje na tunguli kiunoni mwako ulivaaje na hirizi mkononi Kama saa inakuandama!! Hapo ndo utajua nini maana ya watu wenye tabia zisizo pendeza!😎
 
Kuna wale wadada wanaofunga PM! Wangekuwa na uwezo wa kufunga na naniliu nafikiri mpaka sahivi wangekuwa mabikra!! lkn nashukuru mfupa uliomshinda paka panya hatauwezaπŸ˜‚πŸ˜‚ single mothers
mliofunga PM mpo..? Nawasalimu tuπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Wewe kutonipenda mimi ni haki yako ya kikatiba.

Wewe kujieleza kwamba hunipendi mimi ni uhuru wako wa kujieleza, haki ya kikatiba.

Natetea haki zako hizi.

Na pia, usiponipenda kwa sababu na mimi natimiza haki zangu za kikatiba za kujieleza, mimi nafurahi sana.

Kwa sababu sijawahi kupungukiwa na wanaonipenda, sitafuti kupendwa kupendwa kunanitafuta mimi.

Natafuta ukweli tu.

Na kama ukweli unakukata maini mpaka useme hunipendi, all the better for me.

Bahati mbaya au nzuri mimi hata sikukumbuki wewe ni nani hapa JF. Siwezi kusema sikupendi, sikujui, sikukumbuki kabisa.

Jinsi ambavyo uko insignificant kwangu.
 
Kuna id inaitwa mkwepu jr hahaha huyu simchukii. Naikubali sana hii id inavyojiendesha yaani ikiingia kwenye uzi yenyewe ni kumwaga like tu na haulizi.

Mfano wewe utasema paka ni mnyama anakupa like, means anakubaliana na wewe, kisha akitokea mwingine akisema paka ni mmea na huyo pia anampa like, kwamba sasa hiv kakubali paka ni mmea, akija mwingine akiwatukana nyinyi kua mnaongea utumbo, atampa like na huyo pia.

Sasa akitokea mwingine akamcrush huyu kwa kutukana wenzake na kumwambia aache watu wawe free, na huyo pia atampa like.

Hii id chiboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…